SGR Station Dodoma hewa nzito

SGR Station Dodoma hewa nzito

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,346
Reaction score
15,850
Leo jumamosi Sept 19 nasafiri na treni ya sa nane mchana,baada ya kuscan nikaelekea eneo la VIP ila nikakutana na hewa nzito mno na harufu kali.

Nikaenda washroom nikakuta ile harufu kali inatokea eneo hilo la washroom kwa sababu hakuna hewa inayoingia na kutoka, viyoyozi na vents za washroom hazipitishi hewa na eneo lote la VIP hewa ni nzito sana.

Sielewi huu uzembe ni wa nani na mnajua hakuna madirisha ya kupitisha hewa na AC hazijawashwa.
 
Kila eneo lina kiongozi, Uliza kiongozi wa eneo hili mfikishie hizo taarifa, Mambo mengine ni kukumbushana tu.
 
Sielewi huu uzembe ni wa nani na mnajua hakuna madirisha ya kupitisha hewa na AC hazijawashwa.
Waambie wawashe AC. Ni wewe peke yako unapata hio kero? Unganeni muonbe wawashe AC.
 
Lakini si ni wajibu wao kuwasha kila muda wa safari ukiwadia.
 
Hii kero ni mara ya pili naisikia na ni hatari kwa watu wenye pumzi ndogo
 
Naona unawaogopa wahudumua wa hapo, sasa wengine hawapo Jamii Forums, ingependeza ukawaambie uso kwa uso. Hata kama unaona aibu, jikaze tu wasogelee ukawaambie kwa faida ya taifa lako
 
Back
Top Bottom