Baada ya Eda, naruhusiwa kumtongoza?

Baada ya Eda, naruhusiwa kumtongoza?

Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani.

Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
Ruksa ruksan sheikh!Weye ni Islam maridhawa.Na kwako islam,ndoa nne si kharamu.Naaam,inaswihi!
 
Jamaa yupo nyuma sana kama mkia.

Kuna mwanamke nakumbuka aliliwa siku ya mazishi ya mumewe kule kinyerezi. Mumewe kazikwa mchana ikachapwa usiku kucha
wenzie wanatongoza kwenye kutoa pole za rambirambi yeye amebweteka tu.
 
Kwanza tueleze uwekezaji wa bandari zenu unaendeleaje hadi sasa ufanisi umeonekana? Ulikuja kwa mbwembwe sana ili upewe kuwekeza kwenye bandari zetu
 
Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani.

Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
mimama mingine hizo sheria za kidini za EDA haziwahusu! so unaruhusiwa mara moja sio kuwatongoza bali hata kuwakumbatia kama yule bonge nyana wa Zimbabwe!
 
mimama mingine hizo sheria za kidini za EDA haziwahusu! so unaruhusiwa mara moja sio kuwatongoza bali hata kuwakumbatia kama yule bonge nyana wa Zimbabwe!
Mimi nataka eda iishe ili nimpige mashine kihalali
 
Dini inatutaka kuoa na siyo kutongoza, Unaweza kutongoza kwa ajili ya kuzini,Hivyo ungeuliza kuhusu ndoa ningekuwa na majibu.
Unaanzaje kuoa bila kutongoza? Mimi nataka nimtongoze baada ya hapo tutaalika shehe kula ubwabwa nianze kuumpiga miti kwa mitindo mbalimbali.
 
Wakuu kuna jirani yangu amefiwa na mume wake, ni jimama hivi zuri zuri lina asili ya mwambao wa pwani.

Swali langu ni je, baada ya siku 90 za Eda naruhusiwa kumtongoza?
Labda ubadirishe jina lako na ujiite Wicknell Chivayo, ndio utapewa hiyo ruksa...
 
Back
Top Bottom