Wote ni watanzania, kinachotakiwa ni equitable balance.Na hata akija mkristo hatodumu atatoka atakuja muislamu.. Ndio nchi inavyokwenda kikubwa tu ikiwa zamu ya mwenzio vumilia tu
Sasa unapinga nini..acheni mentality za ulaghai kwamba hakuna udini wakati upo toka zamani hata ukabila upo..mtu huru kifikra hawezi kupoteza muda na propaganda za ulaghai, na dawa ya hili tatizo ni lazima upande mmoja uwe juu ya mwingine..hakunaga 50/50Hiyo historia unayoikariri ni mazungumzo ya porojo mgahawani kama anavyosimulia Mohammed Said jinsi ati "wazee wake" ndio walileta uhuru.
Porojo zina madhara yake na usiuone ukweli kama unavyotakiwa.
Mkuu unamsikia au umemsoma Chief Mkwawa wa Iringa au Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga aliyezaliwa 1855?
Unafahamu kisago alichowaandalia wajerumani pale Lugalo, Iringa?
Umemsikia Chief Mirambo wa Tabora na jeshi lake la Riga-Ruga , na alizaliwa 1840 , na jinsi alivyowa control waarabu?
Na je unamfahamu Chief Mangi Meli wa Uchaggani na jinsi wajerumani walivyomyonga kwa kudai uhuru mwaka 1900?
Pengine hujamsikia Kinjeketile Ngwale na vita ya Majimaji kuukataa ukoloni mwaka 1905.
Katika huu muktadha ni kosa kufikiri uhuru umeletwa na dini fulani, mababu zetu walilianza hilo miaka mingi hata kabla Nyerere hajazaliwa.
Una mawazo ya mshindwaji anayetaka kufakamia kile asichonacho.Sasa unapinga nini..acheni mentality za ulaghai kwamba hakuna udini wakati upo toka zamani hata ukabila upo..mtu huru kifikra hawezi kupoteza muda na propaganda za ulaghai, na dawa ya hili tatizo ni lazima upande mmoja uwe juu ya mwingine..hakunaga 50/50
Wewe utakuwa unatumia kijambio kufikiri siyo akili ...hapa tz hakuna kiongozi hata mmoja muislamu mzalendo hata hotuba zao ukizisikiliza zimejaa upumbavu mtupu ...mfano uwezi kufananisha hotuba za Nyerere na raisi yoyote muislamu tanzania ....swali la logic ...kama umekosa UZALENDO NA AKILI HATA KWA KILE KITOKACHO KINYWANI MWAKO UNAWEZAJE KUWA NA AKILI NA UZALENDO KWENYE VITENDO..yaani kiongozi asiye na akili hata katika kile akiwazacho anawezaje kuwa na akili katika kile akitendacho......mfano chukua hotuba 100 za kikwete na za samia kisha linganisha na hotuba 100 za nyerere au JPM kisha njoo hapa ...Mkuu waislamu ndio wazalendo wa kwanza nchi hii.. wakati nyie mnakatazwa makanisani msishiriki harakati za uhuru enzi hizo.
Wao (waislamu) walikuwa mstari wa mbele kupambania uhuru.. hadi wengine walifilisika akina Dossa Aziz.. Hebu leo ngoja tutoe somo.. mnalishwa lishwa chuki huko na akina kitim*.. mnakuja kuropoka ropoka humu
..wakolon waliweka makao makuu ya utawala wao pwani walikokuwa wanaingilia na kutokea kwenda kwao, isingewezekana kuwapinga ukiwa bara ambako hawako..Wakiristo walidandia treni ya Uhuru ikiwa imeshashika kasi. Harakati nyingi za kudai uhuru zilianzia pwani kwa Waislamu
..tiba ya tatizo lolote ni kudeal na source, ulaghai unaosema kupaka paka mafuta tatizo ndio umefikisha nchi hapa ilipo.Una mawazo ya mshindwaji anayetaka kufakamia kile asichonacho.
Siasa ni all inclusive without discrimination of gender, creed , race or tribe.
Mkianza ku entertain mentality ya divisions based o the above, ujue hapo mnakaribisha kitu hamuwezi ku control.
Hivi why wakristo wakiwa wengi mahali sio udini ila waislamu wakizidi tu tunakimbilia kusema ni udini.Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Hilo jiambie wewe na minyumbu myenzio mnaoteseka, wengine Wala hatuna habari hi zo; tunasngalia tu maendeleo. Kuhusu kutokudumu milele Waislamu wanafahamu na kulikubali hilo kuliko kitu chochote hivyo Wala usijihangaishe kumwambia hivyo Samia kwani atakuona ni mshamba mmoja uliyechelewa mno.Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,
Hivyo ni zamu yenu tuu.
Wajinga hao , usibishane nao ..Nimewakuta wanafundishana huo ujinga kanisa, hawa chuki zao za kujificha , baada ya mapinduzi yao kushindwa wamekuja upya ..TEC walihusika ni vile serikali inawaaangalia tu , ila walipanga mapinduzi .Hilo jiambie wewe na minyumbu myenzio mnaoteseka, wengine Wala hatuna habari hi zo; tunasngalia tu maendeleo. Kuhusu kutokudumu milele Waislamu wanafahamu na kulikubali hilo kuliko kitu chochote hivyo Wala usijihangaishe kumwambia hivyo Samia kwani atakuona ni mshamba mmoja uliyechelewa mno.
Nimalizie na kukukumbusha jambo Moja muhimu linaloumiza mioyo yenu kupita kiasi; nalo ni kuwa itabaki milele kuwa RAISI WA KWANZA MWANAMKE KWENYE NCHI HII YA TANZANIA NI DR SAMIA SULUHU HASSAN, mleta mageuzi ya kweli.......sizungumzii habari za dini yake, hilo nakuachieni nyie mambururaz.
Watu wa Mchambawima utawajua tu.Hilo jiambie wewe na minyumbu myenzio mnaoteseka, wengine Wala hatuna habari hi zo; tunasngalia tu maendeleo. Kuhusu kutokudumu milele Waislamu wanafahamu na kulikubali hilo kuliko kitu chochote hivyo Wala usijihangaishe kumwambia hivyo Samia kwani atakuona ni mshamba mmoja uliyechelewa mno.
Nimalizie na kukukumbusha jambo Moja muhimu linaloumiza mioyo yenu kupita kiasi; nalo ni kuwa itabaki milele kuwa RAISI WA KWANZA MWANAMKE KWENYE NCHI HII YA TANZANIA NI DR SAMIA SULUHU HASSAN, mleta mageuzi ya kweli.......sizungumzii habari za dini yake, hilo nakuachieni nyie mambururaz.
Muanzilishi wa kubinafisisha mali na mashika ya uma si mkapa mgaratia mwenzenu tena Kwa bei za kutupwa?Mada za Udini zisipendi ila waislamu wamekua wanafanya vibaya kwenye Uongozi wao ni kuuza rasilimali za nchi tu
Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Kwa hiyo baba wa taifa kuwa mkatoriki ndo inawapa nyinyi haki ya kujiona ni bora kuliko raiya wasio kuwa wakatoriki?Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,
Hivyo ni zamu yenu tuu.
Kwenye suala la balance waislamu ndo wahanga wakubwa ndani ya nchini hii.Wote ni watanzania, kinachotakiwa ni equitable balance.
Tusijejidai hatulioni hilo.
Hivi mkuu tukiamua kwenda 50/50 ni watu wapi Takao athirika kati ya waislamu na wagaratia?Sasa unapinga nini..acheni mentality za ulaghai kwamba hakuna udini wakati upo toka zamani hata ukabila upo..mtu huru kifikra hawezi kupoteza muda na propaganda za ulaghai, na dawa ya hili tatizo ni lazima upande mmoja uwe juu ya mwingine..hakunaga 50/50
Ni kwa sababu huijui the religious demographic distribution katika nchi hii.Kwenye suala la balance waislamu ndo wahanga wakubwa ndani ya nchini hii.
Jamani tusome jamani (in Dotto magari's voice 😆😆).. Kenya na Tanganyika ni tofauti Kenya ni settlers colony.. Wakikuyu waliporwa mashamba na waingereza na ndio kilichochea mau mau.. hapo maslahi kaka ndio maana kenya pia ni kabila moja tu lilikuwa front Wakikuyubut thats my point, kwa maana wewe umesema muslims ndiyo walioleta uhuru tanganyika na siyo Christians na kwamba Christians hawkaushiriki kwa kuwa walikuwa kanisani, sasa iweje Christians wa kenya walipigania uhuru halafu huku kwetu washindwe? wakati mazungira ya kikoloni kati ya tanganyika na kenya yalikuwa ni yale yale? ...