Recent content by mkude-filbert

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kulipia page ya kibiashara Facebook na Instagram

    Atumie za mobile hizi za benk zitamtia hasara
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kuelekezwa mambo haya kuhusu UDEMY

    Uwe unarudisha mrejesho kama umefanikiwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua debe 1 ni sawa na kilo ngapi?

    Haujamelekeza kuwa total weight inabidi atoe na uzito wa debe tupu jumlisha uzito wa ufuko wa sarufeti ili apate uzito halisi wa kitu alicho pima.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua debe 1 ni sawa na kilo ngapi?

    Yes, mkuu, pia namna ulivyo andaliwa wakati wa kuvuna, kisa sehemu huwa wanaanika chini, vumbi+mchanga huwa zinaongeza uzito
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua debe 1 ni sawa na kilo ngapi?

    Kama ni mahindi 17_20kg Mchele20+kg Ufuta13_15kg Mpunga17+kg Mbaazi20+kg
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Kwahiyo wote wakihamisha hizo shule zitabaki na ngedere?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kuelekezwa mambo haya kuhusu UDEMY

    Tumia hiyo link utapata course zote free https://www.discudemy.com/complete-step-by-step-kotlin-guide
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa makato haya ya Bodi ya Mikopo kwenye mishahara, Magufuli na Serikali yako mmetukosea watanzania!

    Sasa sisi ambao deni lilikuwa 16m sasa hivi ni 20+m.
  9. M

    JamiiForums Tanzania APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Ungeweka link ya APP maana app zenye jina bongo ni nyingi huko playstore
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naweza pata mkopo kwa kutumia vyeti vyangu?

    Huo ndio ukweli kama huna biashara usikope maana utajiongezea stress tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la Korosho (Ekari 13) linauzwa-Manyoni

    Mkuu ungepa hata jina la benk linalo toa mkopo kwa dhamana ya shamba maana mabenk mengine dah acha tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Swahili Programming Language - swap

    Ntajifunza
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

    Huo hapo mkwanja wake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Kwani kenya kuna wakurugezi wangapi Watanzania? Wakenya ni fisi wapole wamejaa zarau na upumbafu tu ndio maana wananyimwa vibali.
Back
Top Bottom