Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Kama topic inavyojieleza
Nimefungua pages za kutangaza biashara yangu Facebook na Instagram
Sasa Ili iwe na viewers wengi ambao watalike hizo page natakiwa kuzilipia kulingana na bajeti yangu
Sasa mwenye ufahamu wa namna ya kulipia manake nimeona wanataka kulipia kupitia Credit card/debit Card Visa
So sijajua napata wapi hizo kadi na mchakato mzima wa kulipia unakuwaje naomba maelekezo kwa anaefahamu au mwenye uzoefu na masuala ya pages mtandaoni.
Alamsik