Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

Hebu nisaidieni...

Katika DIPLOMASIA Serikali zina uwezo wa KUMKATAA balozi mkaazi wa nchi nyingine kwa SABABU MBALIMBALI....

Je Serikali haina MANDATE kisheria kumnyima MTU VIBALI vya kazi ima kwa mtumishi mgeni wa kawaida hadi wakuu wa MAKAMPUNI makubwa?!!!
serikali ina uwezo wa kumnyima kibali cha kazi raia yoyote wa nje. uwezo huo inao.
 
Nilibahatika kufanya kazi sehemu flani ikiongozwa na Mkenya,hakuna rangi Watanzania hawajaona. (Mwendo wa kufire and hire)
Jambo la kwanza anaangalia fursa ya kujaza Wakenya (Wa kabila lake) kwenye vacancy zote zitakazo jitokeza za kazi,kihalali na kimagumashi.
Nisiseme sana.Ila naunga mkono Uhamiaji.
Yaani Magufuli 5 tena....
 
Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi...

Hapa issue sio kuajiri mkenya sababu ya EAC sera za ajira ziko wazi kuhusu hilo

Ili kampuni umuajiri raia wa kigeni tena kwenye nafasi za juu lazima huyo mgeni awe na utaalamu ambao mtanzania hana. Na kuajiriwa kwa mgeni kutaendana na vigezo na masharti mengine

Sasa kama unasikia mkenya hajaajirwa kwa nafasi hizo Tanzania ujue tuu hana utaalamu unaosababishwa yeye kuajiriwa..... na huyo mmisri alichukuliwa sababu ya utaalamu
 
Cha kushangaza ukiwa Mchina hapa ukisema wewe ni fundi seremala unapewa kibali. Wachina ni mpaka pale mradi uwe mbaya sana ndiyo utasikia kibali kikiisha hawataongeza muda lakini Wachina wanapewa vibali kama pipi wakati kazi zao na utaalamu wao kuna Watanzania kibao wanao.

Hivyo ukweli hapa kuna jambo la kibaguzi. Watu Watanzania tunapenda sana kujiangalia badala ya kuangalia matokeo. Yaani voda walimkatalia Mkenya wakamleta mwingine kitoka Misri ambaye hakuna ushahidi kwa kuwa na uwezo zaidi!
 
Cha kushangaza ukiwa Mchina hapa ukisema wewe ni fundi seremala unapewa kibali. Wachina ni mpaka pale mradi uwe mbaya sana ndiyo utasikia kibali kikiisha hawataongeza muda lakini Wachina wanapewa vibali kama pipi wakati kazi zao na utaalamu wao kuna Watanzania kibao wanao. Hivyo ukweli hapa kuna jambo la kibaguzi. Watu Watanzania tunapenda sana kujiangalia badala ya kuangalia matokeo.
Kamundu unalalamika bure, nenda katafute kujua taratibu za uwekezaji kwa wasio wazawa, ajira zao na nini wanatakiwa kufanya na kwa muda gani.

Sio useme tuu mradi ukiwa mbaya kibali kikaisha hawaongezewi muda tena.
Hata mkenya akija kuwekeza Tanzania atapewa kibali na muda wa kuisimamia kampuni aliyofungua na kibali cha kufanya kazi kitapoisha iwe kampuni imefanya vizuri au vibaya hatoendelea

Ni vizuri kujua taratibu kabla ya kulalamika
 
"Tanzania is a sovereign state"
Hiki kibwagizo mpk kinachosha.

Namsaidia mleta mada.
Reasons zinazowekwa public kukatalia wakenya ni kua kwani sisi hatuna mtu wa kujaza hizi positions mpk aje mkenya?
Then hizo hizo position tunakuja skia kapewa mtu mwingine mgeni.
NB: sitakujibu hata ukiijibu hii post sema nita like post yako. Maana nimehisi ni mmoja wa wale mtu akisema anything against mawazo ya wale anatazamwa kwa jicho la tatu wakati kiuhalisia facts ndio mpango mzima especially Karne hii.
Kwani kenya kuna wakurugezi wangapi Watanzania? Wakenya ni fisi wapole wamejaa zarau na upumbafu tu ndio maana wananyimwa vibali.
 
I hate kenyans kwakwel for no reason, niliwahi kufanya kazi na kampuni moja na mkenya mkikuyu huyo alikuwa boss wng yule mzee hashauriki yey ndio anajiona anaakili kupita wote dharau, ubaguzi si unajua tena wabongo walivyo tukishakujua hutupi tabu, tukawa tunamwangalia tuu akikosea tunakula buyu aliingiza kampuni kweny hasara haijawahi kutokea mpaka alifukuzwa akaletwa mganda mbona mambo yalienda sawa tena alikuwa friendly kinoma.

Mpaka anaondoka muda wake umeisha wafanya kaz tulikuwa roho zinatuuma
 
Sababu kubwa ni usalama na siasa.

Kwa jicho la juu juu wewe unaona wamebaniwa ila kwa undani, tunalinda maslahi ya tz kwenye soko na usalama. Katika sehemu zote zinazo tuingisia pesa kwa wingi, wahujumunuchumi wetu wakubwa kwa E AC ni wakenya, refer utalii na kesi ya kuchukua watalii jomo kenyata airport. Wakenya kwetu sio washindani hata siku moja, ni wahujumu uchumu, refer ishu ya covid na safari za ndege. Hawa sio watu wa kuwachekea hata kidogo.

Ni ujuha kujifanya kuwatetea hawa watu. Mtoa mada usiwe na akili nyepesi katika hili, think deep.
 
Yale mawazo aliyonayo Jaguar ndiyo waliyonayo Wakenya kwa asilimia kubwa sana ila wao wanalialia sana kuhusu wao kukubaliwa kwetu. Mbona sisi tumekausha tu na husikii tukilalamika kwanini wao tu kila siku? BTW nilishafanya kazi nao sehemu fulani hapa kwetu, jamaa wana full majungu hata siyo kweli kwamba wanatuzidi.

Nilifumania email moja kwa laptop ya mmojawapo anawaambia wenzake waliopo kwao anatuponda balaa, na kazi tulikuwa tukiwafundisha sisi.Unafiki ni tabia yao kuu kama hamjui.
 
Think deep bro,usikurupuke,there is more than what meets the eyes,
Ebu fikiria,mchina apate nafasi ya Ukurugenzi katika Microsoft,google,general motors,MacDonald's,makampuni makubwa ya USA!
 
Watanzania wenyewe tunabaguana, angalia idadi ya wabunge wa upinzani bungeni.
 
Back
Top Bottom