Naomba Msaada wa kuelekezwa mambo haya kuhusu UDEMY

Jamaa wanatoa course Bure lkn wanaingiza mpunga mrefu kwa thousands of visitors wanaopata what a brain 😆
Ni kama Edex wana toa kozi bure kwa kiasi fulani ila zinakuwa na tusehemu twingi ajabu, tuvideo twingi balaa. Ukitu download unakuwa umechangia pakubwa, hii dunia inahitaji akili sio nguvu aisee.
 
Yaani noma Kuna watu unaweza kudhani wanapoteza muda kumbe behind the scenes wakula hela ,nimeshaanza kuwaamini Hawa jamaa wanaosema jipatie hela kwa kungalia video tu😀
 
kama ipi mkuu
Kama ulishaw kusomea IT namaanisha Lkn mm sijui Mambo ya programming mzee kwhy naweza nakujibu si sahihi jaribu kuuliza kwa wataalam Lkn kule Udemy kwa maelezo yao wanafundisha Hadi ma beginner
 
sijasoma IT najifunza mwenyw
 
Back
Top Bottom