Recent content by mku

  1. mku

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Aliyeshinda anaitwa Joseph Nkundi alikuwa mwenyekiti wa halmashauri. Machemli mwaka huu atakufa na madeni maana alitaka alipe madeni....Nyandinga wa CCM kakonda kama mbwa wa miaka ya njaa. Anatia huruma
  2. mku

    Nyalandu amtimua Mkurugenzi Idara ya Wanyamapori

    Wengi wasiojua ndo wanaoropoka humu ndani. You real don't know what is going on. Idara ya Wanyamapori inajulikana kwa kuchotea pesa zake na zinatumika na CCM kwenye uchaguzi. Every one know that. Prof. Songorwa a man of integrity cannot allow that. I know him, he has taught me and his...
  3. mku

    Kiwanja kinauzwa Kibamba

    Almost nusu kilometer
  4. mku

    Kiwanja kinauzwa Kibamba

    Kiwanja kiko Kibamba ni nusu eka, hakijapimwa ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba na kuna umeme karibu na maji ya bomba kama utahitaji kutumia hizo huduma. Muuzaji ni mimi mmliki wa kiwanja na sababu ya kuuza nimepata kiwanja kingine kikubwa zaidi ya hicho na eneo ninalotaka. Kinauzwa million 10 ila...
  5. mku

    Natafuta vyumba vya kupanga Kimara au Ubungo rent 100,000 - 150,000

    Wakuu natafuta vyumba viwili yaani chumba na sitting room vinavyoingiliana kuwe na jiko na choo pia. Kuwe na umeme na maji na usalama ule ukirudi jioni jamaa wajasiri wa mali hawakufanyi wewe MKUKUTA WAO. Uwezo wangu ni TZS 100,000 at maximum 150,000 kwa mwezi na payment iwe kwa miezi sita...
  6. mku

    Jumuiya ya Uamsho ya Kiislamu wakusanya saini ya kutaka kura ya maoni juu ya Muungano

    Mimi nashangaa sana hiyo serikali ya Kikwete inayowakumbatia hawa watu...waacheni waende wanakokutaka. Ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania bara wala sisi hatuna maslai sana na Muungano huo na ni wenyewe wanzanzibari wanaotuibia huku. Kwanza kabisa kuna wengi chungu nzima huku bara wana mashamba...
  7. mku

    Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

    Si hilo jeshi la polisi lilisema kuwa halifanyi kazi kwa kushinikizwa.....sasa wewe mbona unawashinikiza sasa? je unalolisema hapa kuwa polisi kamateni (amri hii), kuna tofauti na alivyosema a holder of Doctor of Philosophy Slaa kuwa polisi kamateni waaharifu na wakata mapanga watumishi wa...
  8. mku

    Lowasa; asisitiza kuhusu maamuzi magumu

    Jamani aliye karibu nae amwambie atukumbuke na sisi wala halua, tende na ngamia. Yeye anazunguka makanisani tu pia na sisi tuna kura. Na kura zetu huwa zina nguvu sana....
  9. mku

    PICHA: Bungeni Nassari na William Malecela... Sasa Malecela atapata kura ya Nassari?

    Samahani ndugu kwa kwenda nje ya mada ila yule afande hapo mkono wa kulia anaonekana kachoka sana karibia adodoke!
  10. mku

    Nyerere: Tunataka mtu anayejua kuwa huko ni upumbavu na ni hatari

    Baada ya juhudi za CCM za kutaka kudhihirisha kuwa wanataka mtu asiyejua huko wanakolipeleka taifa ni kwenye upambavu na hatari kama alivyosema mwalimu kwenye hii hotuba fupi, leo hii wamefanikiwa kummvua LEMA uongozi. Tunaweza kusema kuwa mahakama imetenada haki kwa wote washiriki wa kesi hiyo...
  11. mku

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    Maji marefu Juma Nkamia the list goes on....... Ila hawana nalo pale Arusha....Lema kweupeee anaingia tena mjengoni
  12. mku

    Kwa Jina la CCM: Mbunge wa Mtera Lusinde aporomosha matusi Arumeru kumwombea kura Siyoi

    Taifa lina khali ngumu sana kama ndo viongozi hawa
  13. mku

    Dr limbu kweli siasa ni usanii

    Nyie wasukuma wa ng'ung'umalwa kuna nini mbona mnatukanana hapa? we enk una uhakika gani kuwa JERO hakuwahi kumsikiliza baba yake?
  14. mku

    Arumeru Mashariki hawaitaji sera wanaitaji porojo - Mwigulu

    Hajui kimeru...kule igunga alienda kuongea kisukuma ndo ilikuwa kazi yake maana hilo daraja wala halipo.....huyu Mwigulu au Mbinguni naona anadhihirisha kule ndani ya CCM kumejaa watu wanautumia masaburi
  15. mku

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    wewe si ulisema kwenye mjadawala wa mkosamali na kingereza (this week in perspective) kuwa unauza nyanya kariakoo na huna haja ya kujua kingereza ulichokuwa unamcheka Dr. Slaa kuwa hajui? Leo umesoma arusha na chuo? au siku hizi tanzania kuna vyuo vya kusomea kuuza nyanya kariakoo? nina shaka na...
Back
Top Bottom