Natafuta vyumba vya kupanga Kimara au Ubungo rent 100,000 - 150,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta vyumba vya kupanga Kimara au Ubungo rent 100,000 - 150,000

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mku, Jul 14, 2012.

 1. mku

  mku Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakuu natafuta vyumba viwili yaani chumba na sitting room vinavyoingiliana kuwe na jiko na choo pia. Kuwe na umeme na maji na usalama ule ukirudi jioni jamaa wajasiri wa mali hawakufanyi wewe MKUKUTA WAO. Uwezo wangu ni TZS 100,000 at maximum 150,000 kwa mwezi na payment iwe kwa miezi sita sita. Naomba mwenye taarifa sahihi ani PM tafadhari.
   
Loading...