Nassari sawa, Lema hapana!!

waarusha tunamtaka lema kwa tunachokijua sisi,..mbona nyie wenye hivyo vinavyo itwa vigezo mna ingia bungeni na mnaambulia patupu (mnalala)..na kwa taarifa yako,..lema ana vigezo vyote vya muarusha..BASI.
 
Magamba jifarijini wapuuzi nyie, arusha mjini mkichukua mi ntatembea bila nguo barabarani.
SIPENDI CCM TOKA MOYONI.
 
Tumetumia lugha za Ki-Lusinde sana hapa, ngoja niondoke nitarudi kesho. No comments
 
waarusha tunamtaka lema kwa tunachokijua sisi,..mbona nyie wenye hivyo vinavyoitwa vigezo mna ingia bungeni na mnaambulia patupu (mnalala)..na kwa taarifa yako,..lema ana vigezo vyote vya muarusha..BASI.
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

mkuu adil_abdallah hayo ni mawazo yako na shati lako ulilovaa...
 
Unafahamu,huo utakuwa ni wivu tu, kuna wa wabunge ambao hata kuweza kutetea wananchi wanashindwa kazi yao ni kulala bungeni na kupitisha miswada mibovu hawataufai hata kidogo, sidhani kama lema kuna tatizo lolote ila sema inawezekana ccm amewashika pabaya ndiyo maana manaogopa lakini mjue mnaipa nyie wenyewe CDM Prom. Uchaguzi ukirudiwa Arusha ujue CCM Mtakuwa mmefia mbali kabisa maana kwa sasa wanatanzania wanaangalia watu wa kaskazini wananfanya nini na nadhani hii imezihirika hata kwenye chaguzi za udiwani hasa maeneo ambayo ccm ilikuwa inashikilia CDM wamechukua.
 
Kweli nimeamini wana-CCM wote hawana hekima na busara na hawaheshimu mawazo ya watanzania bali ni hisisa za miili yao na wake zao, unavyosema Lema hafai kuwa mbunge unamaanishi wewe ndo una akili kuliko watanzania zaidi ya 52000 waliompigia Lema kura ya ndiyo? Embu waombe radhi wananchi wa Arusha na ujirekebishe
 
Tunajua kama mnamuogopa LEMA lakini sisi wananchi tunamhitaji huyohuyo lema kama wewe unaona siyo kiongozi huo ni mtazamo wako, hauingilii maamuzi yetu kwa kumpenda MR LEMA kama huamini baada ya uchaguzi utagundua kama Arusha ni LEMA.

NAWASHUKURU MAHAKAMA KWA UAMUZI WAO KWA SABABU WATASHUSHA HADHI YA CCM NA NDIYO MAANA CDM HATUKATI RUFAA, TUNATAKA KUWAVUA NGUO KWA WANANCHI KWEUPE KAMA ARUMERU.
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Unamdanganya nani, akili ni nyele kila mtu ana zake. Lema's comming back will declare the death of CCM in 2016.
 
Tafakari usemi wako na uchukue hatua! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee's Power!


Utashangaa kwenye majumuisho baada ya masanduku yote kukusanywa, Anyway. Nimawazo yako ninayaheshimu.
 
:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed: WADAU MSAMEHENI MAANA HAJUI ATAMKALO KINYWANI MWAKE!
KATUMWA NA WATU WA KWAO WASIOKUWA NA MBELE WALA NYUMA KISIASA!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom