"Insha Allah tutafanikiwa, sasa tumeamua kidhati kabisa, tumeweka kando itikadi zetu za vyama, tupo pamoja kwa Uzalendo wetu."nawaombea wafanikiwe na hii movement yao

Kwa Tanganyika Umewasahau Waarabu na Makabila yao, Wahindi na MAkabila yao Wazungu na Wasomali waliishi Tanganyika mapema bila kuwasahau kina Sykes ni Wazulu kabisa kiasili ,,,wacha longo longo zako hizo wa Zanzibari ni kitu kimoja tokea enzi hizo hata kabla ya kuungana na Tanganyika na wa zanzibari hawana historia ya kuwa wamewahi kupigana kati ya Unguja na Pemba na ni watu waliochanganya sana asilimia kubwa ya wazanzibari wamechanganya damu kati ya unguja na pemba na mila zao na desturi zao ni moja sio kama sisi huku Tanganyika tumejigawa sana kimakabila na kila kabila lina lugha yake na hadi leo lugha hizo bado zinaongelewa na kufuata utamaduni wao lakini wenzetu wazanzibari wao hawana hizo wanaongea lugha moja na utamaduni wao mmoja bila tofauti yeyote ile sio kama sisi wa tanganyika.
LIST YA MAKABILA YETU YA TANGANYIKA HIYO
- Waalagwa (pia wanaitwa Wasi)
- Waakiek
- Waarusha
- Waassa
- Wabarabaig
- Wabembe
- Wabena
- Wabende
- Wabondei
- Wabungu (au Wawungu)
- Waburunge
- Wachagga
- Wadatoga
- Wadhaiso
- Wadigo
- Wadoe
- Wafipa
- Wagogo
- Wagorowa (pia wanaitwa Wafiome)
- Wagweno
- Waha
- Wahadzabe (pia wanaitwa Watindiga)
- Wahangaza
- Wahaya
- Wahehe
- Waikizu
- Waikoma
- Wairaqw (pia wanaitwa Wambulu)
- Waisanzu
- Wajiji
- Wajita
- Wakabwa
- Wakaguru
- Wakahe
- Wakami
- Wakara (pia wanaitwa Waregi)
- Wakerewe
- Wakimbu
- Wakinga
- Wakisankasa
- Wakisi
- Wakonongo
- Wakuria
- Wakutu
- Wakw'adza
- Wakwavi
- Wakwaya
- Wakwere (pia wanaitwa Wanghwele)
- Wakwifa
- Walambya
- Waluguru
- Waluo
- Wamaasai
- Wamachinga
- Wamagoma
- Wamakonde
- Wamakua (au Wamakhuwa)
- Wamakwe (pia wanaitwa Wamaraba)
- Wamalila
- Wamambwe
- Wamanda
- Wamatengo
- Wamatumbi
- Wamaviha
- Wambugwe
- Wambunga
- Wamosiro
- Wampoto
- Wamwanga
- Wamwera
- Wandali
- Wandamba
- Wandendeule
- Wandengereko
- Wandonde
- Wangasa
- Wangindo
- Wangoni
- Wangulu
- Wangurimi (au Wangoreme)
- Wanilamba (au Wanyiramba)
- Wanindi
- Wanyakyusa
- Wanyambo
- Wanyamwanga
- Wanyamwezi
- Wanyanyembe
- Wanyaturu (pia wanaitwa Warimi)
- Wanyiha
- Wapangwa
- Wapare (pia wanaitwa Wasu)
- Wapimbwe
- Wapogolo
- Warangi (au Walangi)
- Warufiji
- Warungi
- Warungu (au Walungu)
- Warungwa
- Warwa
- Wasafwa
- Wasagara
- Wasandawe
- Wasangu
- Wasegeju
- Washambaa
- Washubi
- Wasizaki
- Wasuba
- Wasukuma
- Wasumbwa
- Waswahili
- Watemi (pia wanaitwa Wasonjo)
- Watongwe
- Watumbuka
- Wavidunda
- Wavinza
- Wawanda
- Wawanji
- Waware (inaaminika lugha yao imekufa)
- Wayao
- Wazanaki
- Wazaramo
- Wazigula
- Wazinza
- Wazyoba
- MAKABILA HAYO YOTE YAPO TANGANYIKA NA ZAMANI WALIKUWA KILA KABILA LINAMLETEA MWENZAKE UBABE WA KABILA JENGINE.....MUNGU ISAIDIE TANGANYIKA YETU NJE YA MUUNGANO MM NAONA ITAKUWA RWANDA NYENGINE:tape:
- TUWACHENI WA ZANZIBARI NA NCHI YAO HAINA HAJA YA KULTA KASUMBA ZA KIJINGA WAKATI KUNA NCHI NDOGO NYINGI TU KAMA ZANZIBAR NA WANAISHI BILA YA MATATIZO YEYOTE YALE....WAACHENI WAENDE KULE NA SISI TUBAKI NA TANGANYIKA YETU IMARA:rip:
(1) Kukusanya sahihi hakusaidii kwani hakuna sheria inayoruhusu ukusanayi sahihi kama njia ya kubadilisha sheria ya nchi; ni afadhali wangejikita katika kujadili mabadiliko ya Katiba na kutoa mapendekezo yao kuonyesha kitu wanachotaka katika katiba mpya ili kupunguza nguvu ya muungano katika maisha yao ya kila siku kuliko kuanza mambo ambayo yanaashiria kuvunja sheria iliyoko. Ni vizuri kukumbuka kuwa mtu ukishavunja sheria basi unakuwa umepoteza haki zako nyingine za kisheria ikiwa ni pamoja na haki ya kutoa maoni ambayo ungependa sheria mpya zizingatie.
"Mabadiliko yetu ya Katiba ya Zanzibar yanatupa uwezo huo sisi Wazalendo wa Znz kuitishiwa na Rais au Baraza la Wawakilishi kuhusu kupiga kura ya maoni, kama tulivyopitisha Serikali hii ya Umoja wa Kitaifa tulonayo sasa, kwa kura ya maoni. Maoni katika mchakato wa katiba mpya tushaona ni mtego kwetu ila tumeng'amua hilo. Maoni hayo tushatowa mara ngapi?? na lini tumesikilizwa? "
(2) Ni vizuri tujikumbushe tane kuwa uhai wa serikali za nchi hizo zote mbili nilizowekea rangi hapo juu unatokana na majeshi ya Tanzania, yaani Tanganyika. Hata uhai wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar leo umetokana na majeshi ya Tangayika kabla na baada ya muungano.
" Wazanzibari hawamo kwenye hayo majeshi ya Tanganyika?"
(3) Kuna tofauti kubwa sana kati ya lkifestyles na tabia za watu wa Zanzibar na wale wa Seychelles pamoja na wa Mauritius. Kwa hiyo mfano wa moja kwa moja unaweza kuwa unapotosha hali halisi ya mambo.
" Nakubali tofauti zipo kubwa sana, si na nchi hizo tu, hata na nyinyi Tanganyika, kuna uafadhali tu "
(4) Muungano huu umekuwa unaisaidia sana Zanzibar kuliko Tanganyika, kwa hiyo kwa vile wao beneficiary wameushiba, basi kuna sababu ya kuuvunja kwa vile watanganyika wamekuwa hawafaidiki nao kabisa. Angalia kuwa mbunge mmoja wa Zanzibar aliyechaguliwa na watu mia tatu tu, anakuwa na sauti sawa kabisa na mbunge wa Tanganyika aliyechaguliwa na watu zaidi ya laki moja. Mswada wa sheria unaohusu maisha ya Watanganyika uanchangiwa na wabunge wa zenj pia ilihali hakuna mtangayika anayecxhangia kwenye mswada wa sheria unaohusu wazenj chini ya baraza la wawakilishi. Kwa miaka mingi sana Wazenj wamekuwa wanaula sana kwenye system hii kuliko watanganyika, utashangaa kuna wazenj wengi sana wanaishi bara lakini watangayika wakitaka kuishi huko wanazuiwa na wengine hata kuchomewa biashara zao. Kwa hiyo ni bora tuanze upya, kila mtu arudi kwao. Nina imani kuwa kuvunjika kwa muungano kutatusaidia sana kuvunja system mbovu ya utawala tuliyonao na kuanza mfumo mpya usiokuwa na upuuzi tena.
" kumbe sababu nanyi mnazo kama sisi, tushirikianeni basi waZanzibari na waTanganyika tuuvunjilieni mbali kwa salama na amani. wewe zogo lote hilo lakini bado unang'ang'ania tu? "
Zenj keep your Zenj, and Tangayika will keep their Tanganyika.
Hongera wazanzibari maana mkijitenga hata sisi tunaoitaka Tanganyika yetu mtakuwa mmetusaidia sana!Kila la kheri na harakati zenu mungu awaongoze!!
(1) Kukusanya sahihi hakusaidii kwani hakuna sheria inayoruhusu ukusanayi sahihi kama njia ya kubadilisha sheria ya nchi; ni afadhali wangejikita katika kujadili mabadiliko ya Katiba na kutoa mapendekezo yao kuonyesha kitu wanachotaka katika katiba mpya ili kupunguza nguvu ya muungano katika maisha yao ya kila siku kuliko kuanza mambo ambayo yanaashiria kuvunja sheria iliyoko. Ni vizuri kukumbuka kuwa mtu ukishavunja sheria basi unakuwa umepoteza haki zako nyingine za kisheria ikiwa ni pamoja na haki ya kutoa maoni ambayo ungependa sheria mpya zizingatie.
(2) Ni vizuri tujikumbushe tane kuwa uhai wa serikali za nchi hizo zote mbili nilizowekea rangi hapo juu unatokana na majeshi ya Tanzania, yaani Tanganyika. Hata uhai wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar leo umetokana na majeshi ya Tangayika kabla na baada ya muungano.
(3) Kuna tofauti kubwa sana kati ya lkifestyles na tabia za watu wa Zanzibar na wale wa Seychelles pamoja na wa Mauritius. Kwa hiyo mfano wa moja kwa moja unaweza kuwa unapotosha hali halisi ya mambo.
(4) Muungano huu umekuwa unaisaidia sana Zanzibar kuliko Tanganyika, kwa hiyo kwa vile wao beneficiary wameushiba, basi kuna sababu ya kuuvunja kwa vile watanganyika wamekuwa hawafaidiki nao kabisa. Angalia kuwa mbunge mmoja wa Zanzibar aliyechaguliwa na watu mia tatu tu, anakuwa na sauti sawa kabisa na mbunge wa Tanganyika aliyechaguliwa na watu zaidi ya laki moja. Mswada wa sheria unaohusu maisha ya Watanganyika uanchangiwa na wabunge wa zenj pia ilihali hakuna mtangayika anayecxhangia kwenye mswada wa sheria unaohusu wazenj chini ya baraza la wawakilishi. Kwa miaka mingi sana Wazenj wamekuwa wanaula sana kwenye system hii kuliko watanganyika, utashangaa kuna wazenj wengi sana wanaishi bara lakini watangayika wakitaka kuishi huko wanazuiwa na wengine hata kuchomewa biashara zao. Kwa hiyo ni bora tuanze upya, kila mtu arudi kwao. Nina imani kuwa kuvunjika kwa muungano kutatusaidia sana kuvunja system mbovu ya utawala tuliyonao na kuanza mfumo mpya usiokuwa na upuuzi tena.
Zenj keep your Zenj, and Tangayika will keep their Tanganyika.
Watanganyika tumeamua kupoteza uhuru wetu ili kuwahifadhi wa Zanzibari. Kama hamuwezi kutushukuru, basi angalau msitutukane. nchi yenu haiwezi ikadumu kama nchi huru kwa muda mrefu
Sahihisho: Nchi ya Kiislamu ni ile inayotawaliwa kwa sharia ya kiislamu moja kwa moja, ukiziangalia nchi zote Duniani kwa sasa utakuta hakuna nchi ya Kiislamu.Nchi kama Saudi Arabia inatawaliwa na sheria nyingi za Kiislamu lakini sio 100% hivyo haiwezi kuitwa nchi ya Kiislamu.Hakuna haki za binadaamu kwenye nchi za kiislam. Hizo nchi ulizotaja ni nchi zenye migogoro iliyo na maslahi ya kiuchumi. Wewe kama unajifanya Muislam nenda ukaonje joto ya jiwe pakistan
nawaombea wafanikiwe na hii movement yao
aisee makabila mengi hapo sijawahi kuyasikia ni kweli yapo au umetunga? kabila kama wasafwa au wavidunda mh hawa watu kama wapo wako wapi? sijawahi kukutana na mtu akaniambia yeye ni mvidunda:biggrin1: