Kiwanja kinauzwa Kibamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa Kibamba

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mku, Sep 23, 2012.

 1. mku

  mku Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kiwanja kiko Kibamba ni nusu eka, hakijapimwa ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba na kuna umeme karibu na maji ya bomba kama utahitaji kutumia hizo huduma. Muuzaji ni mimi mmliki wa kiwanja na sababu ya kuuza nimepata kiwanja kingine kikubwa zaidi ya hicho na eneo ninalotaka. Kinauzwa million 10 ila kuna maelewano kwa yule anayetaka kukinunua. Kwa aliye na nia ya kununua anipigie kwa 0716468493. Hakuna dalali mimi mmiliki nakupeleka kwenye kiwanja.
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,964
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Kilomita ngapi kutoka Morogoro road?
   
 3. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Kibamba ipi?
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kibamba ni kubwa, kuna Kibamba kanisani, Hondogo na Mabwegere sasa wewe upo pande zipi
   
 5. mku

  mku Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Almost nusu kilometer
   
Loading...