Jamani aliye karibu nae amwambie atukumbuke na sisi wala halua, tende na ngamia. Yeye anazunguka makanisani tu pia na sisi tuna kura. Na kura zetu huwa zina nguvu sana....
Lowassa naye afanye maamuzi magumu kujibu shutuma tangu zile za Mchonga hadi za Richmond. Kuwataka wenzake wafanye maamuzi magumu wakati yeye anayakwepa ni unafiki wa kawaida. Kwanini kwa mfano anakubali kuitwa waziri mkuu mstaafu wakati aliwajibishwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.