Recent content by mkopajr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

    Na wewe ni miongoni mwa waliopo kwenye ile nyimba ya masaki ??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora wa simu za iPhone

    I think kwa karne hii iphone ndio simu bora zaid kuwah kutengenezwa, ni little more expensive, ila ka una iwezo mzee we chukua tu, na hautokaa ujutie kununua hii sim mzee..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga kidato cha 5 mwaka 2018/2019; Mwanafunzi mwenye umri zaidi ya miaka 20 kutodahiliwa

    Watunga sera walio wengi pamoja na watekelezaji wao katika ngazi ya taifa wengi wao ni watoto wa wakubwa hivo.sehemu kubwa ya elimu yao wamepatia nje ya nchi, sasa wana- force ku-attain rapid development kwa ku- force utekelezaji wa sera za magharibi uku kwetu bila kufikiria utofauti wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania msaada jinsi ya kununua AIRTIME YA TTCL kwa njia ya m pesa au tigo pesa

    thanks mzee ....umetisha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuroot simu yako (smartphone)

    nahitaj ku-root TECNO K7 nitumie program ipi mazee ??
  6. M

    JamiiForums Tanzania msaada jinsi ya kununua AIRTIME YA TTCL kwa njia ya m pesa au tigo pesa

    nimesikia unaweza kununua AIRTIME ya TTCL kwa njia ya m pesa au tigo pesa, naombeni msaada kama ni kweli inawezekana kununua salio kwa njia hzo ..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mapungufu makubwa ya kuhamisha Walimu kutoka Sekondari kwenda kufundisha Shule za msingi

    binafsi nlikua tayari kusoma chuo bila mkopo na kukaa ata miaka kadhaa bila kazi, kuliko kusomea ualimu, nchi hii ualimu na mateso
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    My advise is "don't be too nice to niggas" thou kakosea kuweka mitandaoni..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Apart from that, kuna nyingine walitoa before one minute, sema haikupewa air time ya kutosha, but ilikua bonge moja la ngoma
  10. M

    JamiiForums Tanzania Who is your best football commentator?

    Martin tayler ni hatari saaana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna nyimbo ya gossby kawashirikisha young dee na Godzilla, jina nmeisahau aisee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa kampuni ya simu TTCL

    bora ata wenzetu uko mnaweza ata kupga sim kwa sekunde kadhaa, njoo morogoro ata salio hutoweza kuangalia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo ni chanzo cha maradhi ya moyo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Mzee Kikwete (kuhusu baadhi tusiyoyajua)

    nadhani wabongo kwa unafiki tunaweza kuongoza.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    ja maa yupo clouds saiz
Back
Top Bottom