Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Nakumbuka baba yangu akiwa anasikiliza kipindi cha michezo saa mbili usiku hadi SAA mbili na nusu yaani alikuwa hataki kabisa kusikia mtoto akiongea, kuguna ama mutembea tembea......hahah, alikuwa akifuatilia sana lakini kwasasa alihamiaga kusikiliza mawingu FM...nilipomuuliza alisema watangazaji wamekwisha.....hahhHaa
 
Kikikikiss FM! Hatarii sana,na DJ Mali,Jeff Jerri na Dada flan! Na Fredua alikua na kipindi chake watoto ndio wanacheka daaa tulikua tunacheka home nyumba nzima!
 
Nilkuwa nikishindia RFA kutwa nzima nikianza na Vodacom burudani zaidi (Fredwaa alikuwa ni bomba sana) nikija bonanza Kipindi kizuri sana,mpaka jioni vipindi vilkuwa poa sana. Kwa sasa na miaka miwili cjaskiliza hiyo radio, ipo ipo tu kama hapo cjui ni wapi wamekosea mpaka wakakimbiwa na watangazaji wazuri
 
Duuuh enzi hizo ukimsikia Rahabu Fredy anauliza "mlipotezana wapi".....haitakaa itokee tena masafa ya kati na fm rfa
 
Fred waaaa, huyu jamaa namkubali sana, ila sasa hivi yupo clouds naona kapoa sana
 
Back
Top Bottom