Kwani kila mwenye simu ghali amenunua kwa pesa yake?i phone ni simu za watu wenye kipato kikubwa..
lakini kwa mtu ambaye jobless, nyumba umepanga, gari huna, biashara huna ya kueleweka.. kwa mwezi kipato chako less than a milioni..
achana na ma i phone.. tumia tecno hela zinazobaki wekeza.. wekeza na wekeza...
ni ushauri tu..
maana nakutana na mdada au mkaka ana i phone ya laki 7 au milioni ananiomba kazi au mchongo mdogo sana huwa nashangaa sana