Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Una
Sawa waishi watakavyo lakini wasiue watu. Inakera sana, kuiba muibe na bado muue watu binadam wa aina gani nyinyi?
una ushahidi au unabwabwaja tu? Ukipigq picha inakusaidia nini, mje muunganishe na uzushi? Ila huyo alikuwa anapiga picha akatwe makende km ni mwanaume, Samia asicheke na hao wahuni, pili km vp anashindwa nini kumwekea mtoto wake ulinzi binafsi? Mtu avunjwe kiuono hiyo picha watakuwa wanaitumia kuambatanisha na mauzushi mengi. Ningekuwa Samia huyo mkurugenzi wa viwanja vya ndege angekiona, unaruhusuje abiria wanapigapiga picha airport? Serikali iwe makini na kali ktk mambo ya kihuni, huyo mbwa hakukamatwa bado?
 
Huelewi nini nimekwambia hapo juu we vipi wewe, akili kisoda nini unanichosha au nawasiliana na chizi wa milembe,kumuelewesha chizi kujipa kazi

Fullstop, kwishaaa
Sitaki porojo sema abduli alifuata nini kwa lissu
 
Wewe umeshasoma report ya CAG? au hujui hiyo ni kitu gani? Tangu lini viongozi wa Africa wameshasema wao ni wamiliki wa mali zozote kwenye nchi zao? Hata kuandika Kiswahili hujui sijui akili yako uwezo wake wa kufikiri upoje? Kama unayo akili kidogo, basi IQ yako ni ndogo sana. Unasimamishwa na polisi halafu unakataa kutii sheria, kwanini usipigwe picha? Hivi wewe unajua maana ya privacy, kuna privacy act kwenye nchi hii lakini hayo aliyoyafanya hayastahili, wasamaria wema wanapaswa wampige picha na wapeleke kwetu sisi wananchi. Hivi wewe hiyo polisi na mahakama unayoongelea ni kama huelewi tuko miaka gani? Upeleke polisi, watafanya nini? tena utafunguliwa kesi kwa kumsumbua mtoto wa rais, upeleke mahakamani......Hii mahakama ambayo Hakimu au judge anapigiwa simu na mkubwa apindishe maamuzi ya haki? Hukusikia alichosema Rostam Aziz.....Kuwa mahakama zetu haziwezi kushughulika na mikataba ya kimataifa kwa sababu kiongozi anaweza kupiga simu na matokeo yakabadilishwa? Hivi wewe fala unatoka kijiji gani? CCM wamekulipa kiasi gani utetee upuuzi? Viongozi wa Africa siyo wakweli na wewe hata uwe kiongozi (Ingawa sidhani kama unaweza ukawa hata mjumbe wa nyumba 10) utakuwa na tabia hizo za kutosema ukweli. Akina Kikwete, Mwinyi, Samia na top echelons wana miradi na pesa nyingi ambazo zingeweza kuiondoa nchi yetu kwenye umaskini uliokithiri, Acha kuandika upumbavu.
Huwezi summarize mkuu? mbona unaandika gazeti refu hivi. Nina kazi za kufanya mkuu nipo kazini

Fullstop kwishaaa
 
Mafisadi WA nchi nyingne wanawaonea Sana wivu viongozi wa Tanzania, kule kwao ufisadi ni kitu ambacho kinaweza kukutoa madarakani wakati Tanzania ufisadi ni kitu cha kawaida Tu na kuna baadhi ya wanachi wanaunga mkono, nlishasema hata siku ikatokea Samia akasema kabisa "MIMI NDIO NAUA WATU NA KUTEKA" hakuna kitu atafanywa na Maisha yataendelea kama kawaida.

Kuongoza watanzania ni rahisi Sana.
 
We shoga ulikuwa naye wewe? Yule lofa wenu ni mropokaji anaweza kuzusha na kuropoka chochote
Hadi video za cctv uonyeshwe ndiyo uamini kwanini kama ni uongo abdul asifungue kesi ya kuchafuliwa jina..unajua wanaogopa nini ? Cctv hadi sasa wanasaka zile video wanajua lissu anaweza kuzifyatua siku moja kama bomu ... bro alex
 
Sitakinporojo sema abduli alifuata nini kwa lissu
Ulikwepo au umesimuliwa? Kwanini unaniletea hadithi za kisimuliwa? Be care itakuja ujiingize kwenye matatizo siku Moja punguza ujuaji mkuu, uki helehele wako kuvalianjuga vitu vya kusimuliwa, Nmezungumza apo juu unaniuliza Tena unashida Gani au unatafuta bwana?

Fullstop, kwishaaaa
 
Una stress za maisha mtoto hivi hata Kodi ya CHUMBA usha Anza kujilipia kweli? Unalinganisha maisha ya mtu na mtu kisa mwalimu huyu ana gari basi walimu wote wawe na magari, Donald trump ni tajiri kuliko baadhi ya Marais waliopita naye utasemeje, kisa Ronaldo anamiliki ndege binafsi hivo kila mchezaji anaweza miliki ndege binafsi, kisa diamond anamiliki media hivo kila msaniianauwezo wa kumiliki media? Hio ndo iq kubwa ulionayo? Mbona fact uliotoa ni ya kitoto sana una umri Gani Binti au ulilala klabu asubuhi ume amkia kwenye Uzi ukiwa na hangover, Sito rudia kukujibi kama ndo ufikiri wako umeishia hapo unanichosha kwa heri na log out

Fullstop, kwishaaa
Sa ndo umeandika vikorokocho gani hapa?!

Unajitia kumtetea rais wetu wakati huna hata uwezo wa kujua kuwa dunia nzima inajua kuwa Trump ni mfanyabiashara mkubwa tajiri kabla hajawa rais?
Mwenzio hata mshahara wa urais hautaki.

Wenzio tunamjua toka enzi za YOU ARE FIRED.
Katafute ka tuition centre ujifunze kwanza kuandika vizuri hlf ndo uje uendelee kumchafua mama kijanja.
 
Sa ndo umeandika vikorokocho gani hapa?!

Unamtetea rais wetu wakati hata uwezo wa kujua kuwa dunia nzima inajua kuwa Trump ni mfanyabiashara mkubwa tajiri kabla hajawa rais?
Mwenzio hata mshahara wa urais hautaki.

Wenzio tunamjua toka za YOU ARE FIRED.

Hao sio wakubishana nao Kausha utaumiza kichwa tu
 
Hadi video za cctv uonyeshwe ndiyo uamini kwanini kama ni uongo abdul asifungue kesi ya kuchafuliwa jina..unajua wanaogopa nini ? Cctv hadi sasa wanasaka zile video wanajua lissu anaweza kuzifyatua siku moja kama bomu ...

Sa ndo umeandika vikorokocho gani hapa?!

Unamtetea rais wetu wakati hata uwezo wa kujua kuwa dunia nzima inajua kuwa Trump ni mfanyabiashara mkubwa tajiri kabla hajawa rais?
Mwenzio hata mshahara wa urais hautaki.

Wenzio tunamjua toka za YOU ARE FIRED.
Katafute ka tuition centre ujifunze kwanza kuandika vizuri hlf ndo uje uendelee kumchafua mama kijanja.
Naandika nikiwa kazini nipo bize ndo mana uandishi huko hivi, we si unasubiri saa mbili usiku ujishushe river side ofisini?

Fullstop, kwishaaaa
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Na wewe ni miongoni mwa waliopo kwenye ile nyimba ya masaki ??
 
Chanzo cha yote hayo ni umasikini uliokidhiri mdau
Umasikini unasababisha husda chuki wivu mixer uchawi
 
Gari anayoendesha ina thamani ya madarasa 300.... ukisema ujenge hospital za kata 5.......ukisema ujenge rami kilometer nne sawa na mwenge to african......hiyo gari moja
 
We shoga ulikuwa naye wewe? Yule lofa wenu ni mropokaji anaweza kuzusha na kuropoka chochote
Mbona umejibia I'd nyingine kwelii buku saba is for real,sasa kwa nini asikanushe kwamba anachafuliwa?Sasa ivi neema zake zinaonyeshwa ndio imekua nongwa.
 
Nyie ndio machawa mnaotumwa kuua raia wa wa nnchi hii kisa tu wanawaambia ukweli

Nasemaje kwanza matraaaako yako
 
Naandika nikiwa kazini nipo bize ndo mana uandishi huko hivi, we si unasubiri saa mbili usiku ujishushe river side ofisini?

Fullstop, kwishaaaa
Hiyo ada ilipotea bure huko "private schoil" bora babako angefanya mtaji wa nguruwe saa hiz angekua na ranch kubwa tu ya kitimoto anapiga hela.

Sio "uandishi HUKO hivi" ni "uandishi UKO hivi".

Wewe ndo utaweza kumtetea mama yetu na huu mwandiko kama uharo wa bata!?
 
C
Chuki za kipumbavu kwasababu ya umaskini, walaumu wazazi wao hiyo familia imebarikiwa tayari,
Samia ana watoto wangapi ? Kwanini achukiwe abdul tu ? Huyo mtoto ni mpuuzi sana huyo ni muhalifu
 
Back
Top Bottom