Swali kwa kampuni ya simu TTCL

Swali kwa kampuni ya simu TTCL

Kiufupi tu ni kwamba hawa TTCL hawako vizuri. Walinishawishi kununua simcard yao na wakanipa maelezo mengi sana, lakini baada ya kuiweka ikawa haisomi. Inakuwa na signal full na inakuonyesha alama ya H+ mara 3g lakini hakuna kitu. Niliwapigia simu wakaniuliza simu yako ya aina gani? Nikawaambia lakini wapi, na niko jirani kabisa na minara ya booster zao.
 
Mambo vipi wana jf...
Nimeamua kuwa mzalendo kwa kusapot kampuni mama ya simu TTCL...

Nataka kutumia lain zao za simu kwa data na voice
Sasa swali langu kwao ni kwamba waniambie niamie mtaa gani hapa dar es salaam ambako naweza kuenjoy 4G yao vizuri....

Kwa sasa naishi goba mwisho na cha ajabu nimeweka line yao hata network bar moja hakuna...
Nikipanda juu ya nyumba kinaongezeka kimoja then nikishuka kinakata.

Niko tayari kuingia gharama za kuhama endapo wataniambia nikiamia mtaa flan au sehemu flan huduma zao nitazipata vizuri

Siwezi kuuliza hili swali kwa mitandao mingine kwa sababu kila mtu anajua 4g zao zinavyopatikana sehemu kubwa dar es salaam

Nawasilisha
Ushahidi wa hoja yangu ni huo..... angalia network bar hakuna kitu kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_2017-04-20-13-07-55.png
    Screenshot_2017-04-20-13-07-55.png
    172.9 KB · Views: 35
bora ata wenzetu uko mnaweza ata kupga sim kwa sekunde kadhaa, njoo morogoro ata salio hutoweza kuangalia
 
Duh watu wanashambulia bikra ya dada wa watu kaucaha mada ha habahabah
 
Sasa kama bado kwa mkoa wa dar es saalam what about huko iringa? Ndio maana nilisema walitakiwa kuweka plan ya kuchukua mikoa yote mikubwa kwanza.... wakifunga strong 4g mikoa 5 tu watakuwa vizuri ila ndio hivyo tena


SUBIRA YAVUTA HERI. TTCL WAKO VIZURI SANA KWA HUDUMA!
 
SUBIRA YAVUTA HERI. TTCL WAKO VIZURI SANA KWA HUDUMA!
Ndio maana nimewaomba ushauri waniambie nihamie mtaa gani au mkoa gani ili na mm nione huo uzuri wa huduma zao.... kwasasa niko dar mtaa wa goba karibu na makongo na hakuna network kabisa na nimeambatanisha na picha
 
Back
Top Bottom