Recent content by Mkomi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

    Sipendi kabisa Simba na Yanga
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu sipendi sherehe kabisa. Je, nipo sahihi au nakosea?

    Wewe naona ulijitahidi hadi joho ulivaa? Binafsi hata joho sikujisumbua sipendi kbs sherehe mbaya zaidi sio sherehe tu hata mziki hasa Bongoflava
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe walimu nanyi mnapenda starehe?

    Mwalimu huoa na kuolewa Mwanafunzi haoi na kuolewa Mwalimu hupokea mshahara Mwanafunzi hupewa pesa ya vibumunda na mzazi Mwalimu havai sare Mwanafunzi huvaa sare
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Ndio Mkuu[emoji23] [emoji23]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Hii dawa inaoneka ipo vizuri mimi pia ilinisaidia sana saivi nagonga menyu za wahindi kama kawaida
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

    Hongera sana Alikiba ongeza juhudi zaidi.... Napenda sana mziki wenu wewe pamoja na Diamond ni lulu ya kizazi hiki cha mziki
  8. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kulima mbogamboga bila madawa ya viwandani (chemicals) kwa ajiri ya soko la Ulaya

    Lakini dhana ya kilimo hai haiishi kwenye hiyo njia ya kufukuza wadudu tu... Kunamambo mengi ya kuangalia kama historia ya eneo unalolima je halijawa polluted? Maji n. k
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani hukupa raha???

    Busara kinywaji kizuri sanaaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

    Kitu ipo vizuri sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hili tunda linaitwaje?

    Mapindigesi
  12. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Temeke nije buhigwe kigoma secondary
  13. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kyela mjini mkoa wa mbeya nije Morogoro Manispaa idara ya sekondari
  14. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Morogoro nije kigoma
  15. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Dodoma nije kigoma...
Back
Top Bottom