Hili tunda linaitwaje?

Hili tunda linaitwaje?

Dah! Tunda lina majina mengi hili sijapata kuona. Yaani jina linabadilika kila ukibadili mkoa. Nikiwa mdogo niliyaita mapitis, baadaye nikaenda kuishi kwingine nikayaita mapindiges baadaye nikipohama nikayaita pinches. Sasa sijui darisalama yanaitwaje!
 
Back
Top Bottom