Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Kitu ipo vizuri sana

1473450474801.jpg
 
Hahahahaha ,hiyo naongelea Patek mkuu ndio nilipewa zawadi bei zake sio mbaya

Hiyo Zenith Christopher Columbus Hurricane Grand hata mshua na kuhustle kwake hana

Haaahaaaa anko mimi nimejisemea kabisa siyo lazima kila kitu uwe nacho,
Saa nyingine unavishangaa tu halafu unachapa rapa.
Kuna moja hivi ya Zenith niliona ina Pink Gold inauzwa 23300 USD nikacheka kichizi.
 
Hahahaha bora hiyo mkuu unaweza ukajinyima badala ya kununua Mark X unaamua kununua saa

Sasa balaa la hiyo Hurricane Grand Voyage || unaweza ukalia
Ni $ 260,000 hii si bei ya Ferrari kabisa ?

Acha tu pesa nzuri bana dah
 
Kudadeki kitu 260,000 USD.
:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek:
Halafu watu wananunua zinakua kibao ndani.
Sema ni moja ya investment, maana ni madini yale hayashuki thamani, siku ukiamua unauza tu.
Ila ukinunua hiyo hapa bongo lazima wakuloge.
 
Hahahahahaha labda wajue ndio unaweza logwa ukiaangalia kwa haraka na mikanda yake ya ngozi unaweza kuona ni saa ya kawaida tu ,ujue tumetofautiana kwenye dunia hii kuna watu wanazo kama vile boxer ,ila poa tu huko kwa Mungu nikifika nitamuuliza sana maswali mengi
 
Hahahahahaha labda wajue ndio unaweza logwa ukiaangalia kwa haraka na mikanda yake ya ngozi unaweza kuona ni saa ya kawaida tu ,ujue tumetifautiana kwenye dunia hii kuna watu wanazo kama vile boxer ,ila poa tu huko kwa Mungu nikifika nitamuuliza sana maswali mengi

Haaahaa anko pesa haifichiki,
Mtu akikucheki tu kuanzia juu hadi chini anajua hapa pana upepo wa pesa.
Sasa sikilizia vichomi vyake.
 
Back
Top Bottom