binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 965
- Thread starter
- #61
Mfyuuuu mwenyew , kumbe mnatuona wakuuu wenu wanoko eeehHapo anajiona boonge la mjanja na ndo akili za walimu wakuu wengi zipo hivi mfyuuuu
Mfyuuuu mwenyew , kumbe mnatuona wakuuu wenu wanoko eeehHapo anajiona boonge la mjanja na ndo akili za walimu wakuu wengi zipo hivi mfyuuuu
Nitajua unacho kiandika na elimu yako vinafafanana?Elimu yang itakusaidia nn
Mwalimu huoa na kuolewaMwalimu huenda shuleni
Mwanafunzi huenda shuleni
Mwalimu husimama mstarini
Mwanafunzi husimama mstarini
Mwalimu huingia darasani
Mwanafunzi huingia darasani
Mwalimu husimama darasani
Mwanafunzi hukaa darasani
Mwalimu huandika notes
Mwanafunzi huandika notes
Mwalimu hula wakati wa mapumziko
Mwanafunzi hula wakati wa mapumziko
Mwalimu huenda nyumbani akisikia kengele
Mwanafunzi vivo hivyo.
Sasa watu wanataka kusocialize unawabania nini, hivi vyeo vya kuhongwa mnasumbua watuMfyuuuu mwenyew , kumbe mnatuona wakuuu wenu wanoko eeeh
Hata mie nimegundua! Hajui hata umuhimu wa kuwa pamoja na team yake waka relax na kubadilishana mambo mapya kabisa nje ya masuala ya Kazi!duh...unafaa uende hata certificate ya management aisee!
Mwalimu huoa na kuolewa
Mwanafunzi haoi na kuolewa
Mwalimu hupokea mshahara
Mwanafunzi hupewa pesa ya vibumunda na mzazi
Mwalimu havai sare
Mwanafunzi huvaa sare
Aiseeeee