Recent content by mkombozy

  1. M

    Mtumbwi alimojificha mtuhumiwa #2 kulipua bomu Boston

    asante mleta thread.watanzania tunatakiwa tujifunze kwa wenzetu walio serious.ingekua bongo hapo ingetengenezwa filamu ya uongo na kweli na bado wapuuzi wangeiamini.matukio yote ya mauaji na utesaji hakuna hata moja lililoshughulikiwa.
  2. M

    Mtumbwi alimojificha mtuhumiwa #2 kulipua bomu Boston

    asante mleta thread.hii inahusika sana.watanzania tujifunze kwa wenzetu walio serious.ingekua bongo hapo ingeshatengenezwa filamu ya uongo na kweli.tunadanganywa tu kila siku na bado kuna wapuuzi wanatetea.matukio yote ya mauaji na utesaji hakuna hata moja lililoshughulikiwa.
  3. M

    CCM tupo katika mwanguko mkubwa

    mkuu umenena ukweli mtupu.maneno yako yamenigusa sana ingawa mimi ni mfuasi wa cuf.cjawahi kuona chama tawala kikijenga chuki kwa wananchi kama sasa.acheni wajichimbie kaburi lao wenyewe.
  4. M

    Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

    mi naombea siku moja vyama vya upinzani vyote vijiuzulu ili kibaki chama cha magamba pekee.hapo ndo wapuuzi wote mtakapovikumbuka sana hivi vyama.chadema wametufunulia mengi sana sisi watanzania tuliokua gizani.
  5. M

    Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

    wafanye hivyo kwa watoto wetu wa mjini kama hatujapachimba.upuuzi huu uishie huko huko vijijini.
  6. M

    Je enyi wadada wa kibongo mwaweza hii!!

    dah inabidi tuombe na kusali sana.mwisho unakaribia.
  7. M

    2015 ipigie kura CCM

    Mimi sina tatizo na watu kubomolewa nyumba zao as long as taratibu zimefuatwa.hapa namaanisha kama mwenye nyumba ana haki basi awe amelipwa fidia anayostahili.hata hivyo pamoja na hayo,tatizo la msingi naloliona hapa ni kwamba serikali hii ya ccm haina mipango endelevu na ya mda mrefu.mambo kama...
  8. M

    Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

    binafsi nawafahamu jamaa zangu kama watano waliodisko UDSM.hawa wote walienda kusoma huko DIT na wakafanikiwa kumaliza.cha kushangaza sijawahi kuona mtu anadisko DIT then akapata admission UDSM.hii ni sawasawa na kwa wenzetu madaktari.huwezi linganisha daktari aliyehitimu muhimbili medicine na...
  9. M

    Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

    jamani haya mambo mengine hayana tija kuyajadili.ukweli upo palepale mtu aliyehitimu chuo kikuu kama UDSM huwezi mlinganisha na hao wengine.tofauti ni kubwa sana.kwanza wa UDSM hata ukifatilia academic record yake toka anazaliwa itakua ni nzuri tu na ndomana akaweza kuchaguliwa huko.
  10. M

    Faida za kutumia ubuntu

    kaka tupe faida za kutumia hiyo os ya ubuntu.najua faida mojawapo ni kuwa hairuhusu virus kama os nyingine.naomba faida nyingine za kutuconvince.
Back
Top Bottom