Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

mi naombea siku moja vyama vya upinzani vyote vijiuzulu ili kibaki chama cha magamba pekee.hapo ndo wapuuzi wote mtakapovikumbuka sana hivi vyama.chadema wametufunulia mengi sana sisi watanzania tuliokua gizani.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?

Kwa hiyo hao akina Mwigulu ndo wana nidhamu? Unaitafsiri vipi nidhamu? Na ndo mana hukuwa spika na kamwe huwezi kuwa. Never argue with the professionals people might notice the difference.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?

View attachment 90611kutetea magamba ni sawa na kupulizia kinyesi pafyum ili kinukie vizuri
 
Nasikia wabunge siku hizi wanaitwa "mbwa" ni kweli?nani alianzisha hilo jina?kwa sababu gani?
 
Aliyetukana kakosea na kaomba msamaha ila inakuaje mbunge unaamrishwa na spika ukae au kutoka ukumbini unakataa wewe kama si ganja ni nini? Nani anakuongoza bungeni?

ungekuwa na mtoto sidhani kama ungekuwa na wazo hilo,lini aliomba msamaha?Acha mahaba kwa jambo chafu
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?

Wewe ni kati ya watu wanaolipwa kwa ajili ya kuichafua CDM.

You have just joined Jamii Forums it is just two 3 days ago
 
Kwanini brothers and sisters mnashindwa kuelewa lengo la mjadala huu ? Wabunge wetu wapo bungeni kujadili mambo ya Maana yanayoligusa Taifa kiujumla sasa kiongozi unapohama kwenye mjadala na kuanza kuleta vurugu wakati huohuo unaonyesha utomvu wa adabu kwa kiongozi wa bunge je unataka bunge liendeshwa na nani?
Suala mtu kufanya kosa si ruhusa ya wewe kumuiga.
 
Pamoja na kwamba kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kuhusu busara na nidhamu ni nini, mawazo hayo yakitanguliwa na chuki ya wazi tayari yanakuwa yamekosa mashiko! Ni dhahiri kuwa msemaji hapo juu ana walakini katika kuwahukumu wengine!
 
Wa CCM wanakufurahisha? kama wanakufurahisha basi wewe umevia akili,acha ushabiki kwa kutetea ujinga,wabunge wote c wa CDM wala CCM wanatumia lugha kali Sema wa Cdm ya kwao ndio yanaonekana ila ya ccm hayaonwi, Kama yangeonwa kina Serukamba wangekua wameshapigwa nje siku kumi.
 
NDIO MAANA WEWE SIO SPEAKER NA WALA SIO MWENYEKITI HATA WA SERIKALI YA KITONGOJI CHA MABWEPANDE. PIA NAFIKIRI LUSINDE NA MWIGULU NA MBUNGE WAKO WAKONDOAWANAKUFURAHISHA SANA NA WANAPANDISHA SANA HADHI YA BUNGE:yo:
 
chamviga, hope unaishi kwa matumaini na IQ yako iko under average sana. Nakuonea hrma kwa kutojitambua japo bado unaendelea kuishi dunia hii, sio kwamba namlazimisha muumba akuchukue ila inastahili iwe vile kabisa huna umuhimu wa kuendelea kuishi naona oxygeni unayopewa na muumba inapotea bure kabisa bora ukafia mbele!
 
Akhsante kwa ushauri wako ambao haujaulekeza kwangu bali umemshauri mungu. Najua fikra na hasira zangu kwa cdm zimewakilisha kundi kubwa la watu wenye mawazo kama yangu.
 
bila watu wenye akili kama zako ukomboz ungeshatufikia,mzee wa vijisent asingekua mbunge,wezi wa epa wangekuwa segerea,dowans isingelipwa,NBC isingeuzwa,kusingekua na mbunge ambae ni mkuu wa mkoa,watoto wasinge somea chini ya miti,Nembo ya Taifa (Twiga)wasinge ibwa wakauzwa Catar,magorofa yasinge anguka hovyo city centre,wewe na magamba wenzako ni janga la Taifa la Tanzania.
 
Ukombozi hauji kwa matukio ya kuvunja wa sheria wala matukio ya kulihujumu Taifa.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.

Yaani ndugu yangu nakuunga mkono kabisaaaaaaaaa. wale wabunge ni makanjanja na wanapaswa kutolewa nje kila kikako cha Bunge. Wanalipuka tuuu. aaaaaaah, wanaharibu Bunge letu tukufu. Ni bora turudi enzi ya One party state.
 
Kiukweli chadema kimeleta uchangamfu wa uwajibikaji wa serikali yetu na muhimu kuwa na chama hiki kwani kuna viongozi wanaojitambua ndani ya chadema tatizo ni hawa wanaolazimisha kila wanaciotaka. Bunge wanalifanya sehemu ya kujitangaza kisiasa.
 
Back
Top Bottom