Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,746
- 2,515
polisi watakuwa wageni wa nani? Naiona hatari iliyo mbele yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kauli zake huyu mwandishi ndio zinafahamika, huyu ni mwanachama mtiifu wa CDM na hilo linafahamika. Kwa hiyo uandishi ilikuwa just cover tu.
Tatizo sio polisi, tatizo hiki chama kisichotii sheria za nchi. kifo ni just matokeo ya huu ukaidi.
Ubungoubungo Hivi kwa mahakama hizi zetu na serekali hii kuna haki itatendeka?shauri hili halina hadhi ya kwenda the hague, kosa hili halijadondokea kwenye any of the four crimes under the icc statute...can you say this is a widespread and systematic attack against civilian population within the meaning of the icc statute? ili tuseme hii ni crime against humanity? bado haijafikia hadhi hiyo, halafu hata hivyo, bado nchi yetu inayo room kupelekea watu mahakamani kwa at least mwaka mmoja ndio reasonable before the icc gets in...kuna principle kweney article 17 of the icc statute inaeleza principel ya complimentarity, na kama watu watapelekwa mahakamani kwa nia ya kuwashield tu au kama selikali itakuwa serious etc...kwa hili, hawa wataangukia kwenye mahakama zetu hizihizi tu bro.
Hao mashahidi wamepandikizwa, na unaposema alipigwa bomu kwa nyuma utumbo ukatoka na akakatika vipande vipande,hilo ni bomu gani,la machozi au RPG. Mimi nashaka sana na hao mashahidi wako, lazima watakua wametumwa kudanganya umma. Sisi tunasubiri uchunguzi ufanyike kwanza.
Acheni kutumika kwenye siasa, unaambiwa fanya fujo wakati ane kwambia ufanye fujo anapanda gari na kuondoka, unabaki wewe unakula kisago.Leo imekuwa kijana, mwandishi asiye na hatia Daudi Mwangosi. Una hakika gani kwamba kesho haiwezi kuwa MIMI au WEWE? Umma unashinda. Hofu yao kuu ni kuamka kwa Watanzania. Mauaji ya raia wasio na hatia ni hofu ya wazi wazi! Tuungane, tusimame, tusitetereke, tunakaribia ukombozi!
kuna mashahidi wawili ambao ni waandishi wa habari waliokuwa na marehemu MWANGOSI (JANA- KATIKA UVUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA-IRINGA, MUFINDI) wakati anakamatwa na mapolisi shahidi walikuwa wanaelezea tukio zima itv news usiku huu (sa 2 ) wa kwanza anasema
"marehemu alikamatwa na mapolisi 8, wakampiga sana na marungu kwa mda mrefu kila upande wa mwili wake, akatokea polisi wa nyota tatu akawasihi hao polisi 8 wamwachie marehemu lakini haikufaa kitu akatokea polisi mmoja akaja kwa nyuma ya yule aliyekuwa akiwazuia wasiendelee kumpiga marehe akamfyatulia risasi marehemu na kumtawanya utumbo na bomu hilo likamvunja mguu hata huyo polisi aliyekuwa akiwazuia wasimuue.
Shahidi wa pili anasema
Yeye (huyo shahidi-ambaye pia ni mwandishi wa habari)alipoona marehemu anapigwa alikimbilia kutoa taarifa kwa mkuu wa mapolisi waliokuwa katika eneo hilo la tukio huyo mkuu wao alikuwa katika gari akiwa kafunga viooo huyo shuhuda ambaye naye ni mwandishi alipofika hapo akagonga kioo cha gari ili huyo afisa wa polisi afungue, alipofungua huyo mwandishi akamweleza tafadhali naomba msaada wako mkuu yule anayepigwa pale ni mwandishi wa habari, tafadhali naomba msaaada wako huyo afisa hakumsikiliza akarock kiooo.
Ndio maaana nawahuliza hao (Majebere, mwiba na wengineo) wapenda uozo na mauaji ya polisi wameyasikia haya (Ushahidi toka kwa watu wailiokuwa eneo la tukio)? na kuangalia tv... maana wao sijui wanamioyo gani hawa watu ni zaidi ya wanyama kila wakati wao ni kuwatetea polisi hata uweke ushahidi wazi kiasi gani.
Imeniuma sana wakuu SORRY KWA ALIYEKWAZIKA JINSI NILIVYOLIPOTI NI HASIRA JUU YA HAO WATU
Ili kupata impact ya kutosha susieni shughuli zote za wizara ya mambo ya ndani (kama mlivyomfanya Mapuri enzi zile) au hata za serekali nzima.
Acheni kutumika kwenye siasa, unaambiwa fanya fujo wakati ane kwambia ufanye fujo anapanda gari na kuondoka, unabaki wewe unakula kisago.
Hawa waandishi inatakiwa wawe na msimamo wao wenyewe. Wasiwe kama kina Ulimboka.
Siku inakuja watu wa aina hii watakapokuwa gerezani ambako hawatapata kioo cha kufunga wala kufungua. Ole wenu!ITV imetoa habari iliyokamilika kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari, waandishi wa habari walioshuhudia tukio hilo wameeleza bayana tukio hilo kwa kubainisha chazo cha mauaji hayo, na huku wakitoa ushahidi kuhusu jinsi gani marehemu alivyouawa kikatili na jeshi la polisi.
Mwandishi wa pili aliyeshudia amesema kuwa aliona marehemu akipigwa na polisi na baada ya hapo alienda kwa RPC kuomba amsaidie kumnusuru yule marehemu na kumuambia yule anayepigwa ni mwandishi wa habari, RPC hakmjibu ila alifungua kioo cha gari na kukifunga tena.
Mkuu kauli zake huyu mwandishi ndio zinafahamika, huyu ni mwanachama mtiifu wa CDM na hilo linafahamika. Kwa hiyo uandishi ilikuwa just cover tu.
Acheni kutumika kwenye siasa, unaambiwa fanya fujo wakati ane kwambia ufanye fujo anapanda gari na kuondoka, unabaki wewe unakula kisago.
ITV wamefanya investigative journalism,wamewaonyesha watanzania nini kinaendelea baina ya watawala na watawaliwa. Mioyo ya watanzania inayo majibu tayari,Mungu ilinde nchi yetu,kuna mashahidi wawili ambao ni waandishi wa habari waliokuwa na marehemu MWANGOSI (JANA- KATIKA UVUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA-IRINGA, MUFINDI) wakati anakamatwa na mapolisi shahidi walikuwa wanaelezea tukio zima itv news usiku huu (sa 2 ) wa kwanza anasema