boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,321
- 319
Watu wa HAKI ELIMU wako wapi? Huu ni unyanyasaji wa watoto kwa kisingizio cha jumuia ya vijana, hawa watoto wanahitaji kusoma shule, kupumzika na kujisomea nyumbani.
wana take advantage ya umasikini wa watanzania,Ni aibu sana mtu kama Kinana au Nape kusafiri all the way kwenda kukagua gwaride la watoto wa shule ya msingi. Angemuagiza balozi wa nyumba kumi kufanya hiyo kazi.
The good thing muda huo aliokuwa hapo Tembo wetu wamepumzika kidogo, labda kama anajua Multitasking
Mimi sina maneno mengi, nataka muangalie picha hizi kisha mtakachokiona mkitafakari.
![]()
Kinana anawanunua wazee waliokuwa awanachama wa CHADEMA.
Weka mbali na Tembo anajua biashara sana huyu!
![]()
Hapa wazee wanafurahia mauzo ya kadi za CHADEMA.
Angalia nyumba kabisa ya picha hiyo......kuna nini?

hata aibu hawana waone na mibuti yake.....![]()
Angelikuwapo mwanangu hapa wangenitambua.....