Faida za kutumia ubuntu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za kutumia ubuntu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by emma115, Aug 18, 2012.

 1. emma115

  emma115 Senior Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 45
  Nimeona angalau kwa ufupi niandike kuhusu faida za kutumia Ubuntu kama ambavyo baadhi ya wadau wa teknohama ambao wamekuwa wakitamani kujua.

  Nipende tu kuweka wazi kwa kuwa nimekuwa mtumiaji wa Ubuntu kwa miaka kadhaa sasa ni kwamba watu wengi wanapenda kutumia windows kwa sababu tu ya mazoea. Lakini kama mtu amejaribu kutumia ubuntu ataona kutumia windows si lolote wala si chochote.

  Sababu moja kubwa ya msingi kwangu katika kutumia Ubuntu ni usalama na mpangilio nadhifu wa vitu vyangu.:A S cry:
   
 2. C

  CAY JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni nini hicho?Nipeni shule!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ingia hapa utaipata kwa ufasaha zaidi Google

  hii ni OS kama microsoft window ilivyo..
   
 4. m

  mkombozy Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka tupe faida za kutumia hiyo os ya ubuntu.najua faida mojawapo ni kuwa hairuhusu virus kama os nyingine.naomba faida nyingine za kutuconvince.
   
 5. M

  Mayu JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mimi kwa pc yangu nina Ubuntu na Windows

  Uzuri wa ubuntu ni haishambuliwi na Virus
  Software zake nyingi ni free

  Hasara zake sio user frendly(hapa nazungumzia installation ya softwares na muonekano)
  Haina software za kushiba kama za Windows
  Kwa upande wa games nako inasubiri sana tu kwa Windows
  Wataalamu wake wapo wachache ikibuma hasa hapa bongo

  Kwangu mimi Windows ndio mpango mzima maana ingawa software zake nyingi za kununua lakini always there's a way to get it free
  Kuhusu virus, ukitupia pale kati kitu cha Antvirus inakuwa mpango mzima
  Kuna software za maana za kufa mtu
  Games hapa ndip pahala pake

  Maoni yangu tu jamani
   
 6. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hapo naweza pingana na wewe, installation ya software kwenye ubuntu ni simple than any
  os maana kunastore ya apps wewe nikuingia na kuchagua software yako na kuinstall. Swala la user interface ubuntu unaweza ichange unavyotaka maana kuna desktop manager nyingi e.g. gnome shell, kde, xfce etc. Tatizo kubwa watu wengi walianza kutumia windows hivyo kuaccept new ui inakuwa vigumu.
   
 7. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  yeah exactly kama jamaa anavosema. Not user friendly at ol(unless you're a programmer au una high knowledge on computers). But ni nzuri sana tena kama una live yake kwenye USB, kwenye PC ni nzuri ila nashauri uwe na WIN7 pia (ndo ilivo kwangu) sometym unaingia kwa windows some kwa linux.
  PS: I like Mint more than Ubuntu
   
 8. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ndo maana kuna antivirus bro..
   
 9. leh

  leh JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  pffffft.. its not that simple. nenda install kitu kama emerald au compizfision ambazo zinasaidia kumanage themes easily as on windows uje uniambie ni simple. au uwe na mashine umefunga vga card ya kujinunulia uniambie ina urahisi gani (siku hizi angalau amd wanatoa driver za video card zao *not all supported* lakini bado headache mpaka umalize install and use)

  mimi kama mtaalam mimi simshauri yeyote ambaye sio pro wa command prompt ya windows (achana kwanza na ya ubuntu) aje install any linux based OS coz every one of them is not user friendly
   
 10. deogan

  deogan JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  i am just about to install ubuntu on my pc, what can be its problem hasa kwa mtumiaji asiye mzoefu wa linux
   
 11. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Personaly nadhani ni those games nd fancy colours you see on windows. But vingine vyote 4rm Browsers,office tools,Graphic tools,Anti-virus(as if u need 1),etc
   
 12. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,259
  Likes Received: 10,244
  Trophy Points: 280
  Usiwandanganye watu Mimi ni programmer Linux OS is better on server side.
  Office za ubuntu sio nzuri.
  Programming tools za ubuntu sio nzuri
  Inachukua muda mrefu kwa instalation.
  Hakuna license yeyote hata kam ikibuma hakuna wa kumlaumu.
  Ubutu ni kwaajiri ya education sio ushauri organization kutumia ubutu.
  Watu wengi wenye ubuntu utawakuta wanatumia Windows.

  Acha kudanganya watu be professional
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe ndio muongo wa kutupwa Mimi pia ni programmer niliyebobea kwenye java na php na huwa nafanyia kwenye Ubuntu sasa inaelekea wewe ni victim wa .net ndio maana unainyenyekea mkuu dunia inahamia kwenye open source ohoooooo!!!!!! Na application nyingi ni web based Microsoft kwisha habari yake
   
 14. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  Ubuntu ni user friendly sana na ina muonekano nadhifu sana kwa hilo umekosea. Sema labda wabongo tunafanya vitu kwa mazoea ndiyo maana unasema sio user friendly kwakuwa umezoea ukitaka close windows una click mkasi upande wa kulia wakati ubuntu mkasi unakuwa upande wa kushoto na mac pia hivyo hivyo.
   
 15. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  Acha kuongopea watu wewe, na kuhusu kubuma naomba ajitokeza mtu hata mmoja humu atwambie kama windows kwenye pc yake iliwahi kubuma akawa contact microsoft wakampa msaada?
  Haya masuala ya support from microsoft ni mbele si bongo si likibuma unatengeneza ikizngua unapga chini unaweka kitu kingine.
   
 16. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Thank you
   
 17. leh

  leh JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sielewi unavyosema kwamba ubuntu ni user friendly una maana gani. kama hujui kutumia su & sudo commands, huji ukafanya mambo madogo madogo, getting applications to work is a pain (kufanya tu vlc icheze all video formats on ubutu lazima udownload more packages). na dont even talk about the lack of simple help in programs. ukikwama in windows programs, a simple F1 button itakutoa, not that easy with open-source programs. niambie ndo user friendly ki vipi sasa

  while ni kweli tunaweza kosa aliyepata help kutoka windows, uliza ni wangapi wamepata help kutoka forums or other techs kuhusu mambo ya windows ndo uje kweli kuwa msaada kwa msn rahisi kuliko any linux derived OS. kupata help on ubutu is hard (sisemi impossible but hard), watumiaji na experts on linux hawaoni wa windows na kuna mabo mengi kwa linux huji ukasaidika because hawajafika hapo

  mawazo yangu ni kuwa while linux is fun, its only fun for technicians/ programmers and any other well into IT geek. lakini hata wao hawawezi ishi bila windows. ukiniambia unatumia linux only, nitakuona the biggest liar in the world.
  stick to windows ndo ushauri wangu


  on a very last note, kama kuna mtu anataka kujiunga in the linux world, ningemshauri aanze na Pinguy OS, kabla ya kuwaza Ubuntu as Ubuntu inahitaji ujuuzi kidogo kuitumia kwa raha ila on Pinguy utaweza kutumia kiurahisi as inakuja na programs plus packages nyingi za common programs kama Vlc vile na Mozilla (najua hata ubuntu inakuja na Mozilla ila mpaka uitumie kwa raha mpaka upige chini a few packages--> sudo add-apt-repository ppa:ubuntu-mozilla-daily/ppa *na bado mseme ubuntu rahisi or fun* haha :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: )
   
 18. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  thnk u, its like ur a psychic o something. Asee updates za window ni pain in d a$$, as soon as i connect my pc 2 the network kila app inataka a piece of d action. Dont get me started with the Malware and the cost of controling em in windows. Extra packages needed kufungua baadhi ya mafile in win. Sababu kama hizi ndo zinafanya not only niwe nimeweka Linux in my beast but also live yake in ma Xternal drive ili niepukane na hizo kero nikiikosa kwenye machine(also ku bypass passwords kama mashine imefungwa). Lakini yote kwa yote i still need win, tena sana 2. By the way MINT naona ni nzuri kuliko Penguy nd Ubuntu. Afu somethng funny kuhusu ulichosema ni kwamba kuna experts wengi na uwepo wa wa2 wengi wa kukupa msaada on ur window OS cause the darn thing is full of problems nd keeps breaking down everyday kwanini mafundi wasiwe wengi. Nime2mia Linux 4 abt a good year now i think nimeshareplace Win abt 6 times nd repaired it only God knows how many times in the same time frame huku Lnx ikiwa safe nd sound no Blue screen Cr*p no weird messages. No wonder Gates ana2mia Mac
   
 19. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  Thanks kwa kumpa majibu niliyo kuwa nataka kumpa. Windows tutaendelea kuitumia kwakuwa hatuwezi pata everything kwenye open source but kwa mengine linux rocks
   
 20. leh

  leh JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:

  kweli kuhusu urahisi wa kucorrupt kwa windows. nina IBM pIV ambayo inaelekea mwaka wa pili sijagusa OS ya Pinguy niliyoweka huku li i5 la mwaka jana nimeangusha win 7 mara kama ya nne hivi na hapa nilipo nataka kuformat and kuinstall upya

  napendelea kutumia ubuntu sana ila mashine yangu ina switchable graphics card ya ATI na backlit keys ambazo both zinanipa headache. ubuntu haitaki kutambua gpu ya ATI yet fan yake ina run at full speed ALL THE TIME, keys za keyboard hazitaki kuzima na kila nikiwasha upya, display brightness inakuwa always highest hata ni set kivp. nimetafuta ushauri kwa wataalam zaidi yangu bila mafanikio (and yet am a pro too :biggrin:)

  kwenye 7, maisha mteremko, naweza chagua which card I want to use, wat time the keys should light up and set brightness rates navyotaka. win7 is an evil neccessity
  @Good Guy, piga firewall moja ya matatizo kama mimi. nikwa on a home network (nachagua home for my modem, si unajua mambo ya bei za net za mobile) firewall inaruhusu utorrent na chrome ONLY access ya kugusa net.
   
Loading...