Shixi889
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 338
- 208
Hahahhahahaaaaaaaaaaahahaaa!!!!!!liwalo na liwe wakti anajimaliza mwenyewe!!!!!!
Hahahhahahaaaaaaaaaaahahaaa!!!!!!liwalo na liwe wakti anajimaliza mwenyewe!!!!!!
![]()
An elderly man of Madale village on the outskirts of Dar es Salaam ponders what to do next after his hut was bulldozed in an operation conducted by Kinondoni municipality under CCM government.
Tatizo wazee kama hao inakuwa huna la kuwambia kuhusu CCM, wanasema CCM ndio baba ndio mama na wale waliohamishiwa kule mabwepande na kujengewa mahema ndio kabisa ,wao na CCM ni kama Paka na Samaki .
Tusiwape CDM nchi hata kidogo .kwani watatuzamisha na kupora mali zetu na kulipa kwa wafadhili wao huko ulaya.
lakini serikali ya nyinyiem hivi mnakuwa wapi HAWA WATU WANAPOJENGA HIZI NYUMBA..??
mnasubiri wajenge halafu mkavunje..! SERIKALI MAKINI INAMZUIA MTU ANAPOANZA TU KUCHIMBA MSINGI..! KWA KIPINDI HICHO TAYARI HUWA ANAKUWA NA MAHALI PA KULALA LAZIMA..!this is not fair! GROW UP!
Kwenye red ya kwanza: Nadhani yuko sawa anatumia kitu kinaitwa kejeli, then ukisoma content unaelewa exactly alichomaanisha. na kwenye red ya pili: I think that is what CDM is doing, na si rahisi kukamilisha kazi hiyo kwa siku moja, it needs time and tolerancy.
yani mkuu tutakacho kifanwa kuvunja mbeleko zote zilizo beba mafisadi
Tatizo wazee kama hao inakuwa huna la kuwambia kuhusu CCM, wanasema CCM ndio baba ndio mama na wale waliohamishiwa kule mabwepande na kujengewa mahema ndio kabisa ,wao na CCM ni kama Paka na Samaki .
.
sipigii ccm kura hata iweje na lolote liwe.kura yangu bora nikae nayo ndani nitazme tv au kutembelea ndugu na jamaa kama itashindikana siku hiyo kuipa chama nitakachoridhika nacho kuwa kinastahili japo kupewa nafasi ya kuongoza.
kuliko kuipa ccm nasema sitaki ccm tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Problem ya Hii Nchi Kila kitu Kipo defined ila Nani wa kumfunga paka kengele? Serekali imeajiri surveyors na Town Planners na wote wapo dar!! Ila nani wa Kuwapangia Majukumu? Hayuppo!! Sasa wanaenda Mitaani Kupima Viwanja Vya watu!!