Recent content by MKOMBOZI01

  1. MKOMBOZI01

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu unataka kusema Ben White hakuna kitu? Mimi nadhani kwakua alikuwa majeruhi
  2. MKOMBOZI01

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi kwanini Patey ameanza kwenye kikosi. Wakati wapo mabeki bench
  3. MKOMBOZI01

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Siku mbaya kazini kwa Saliba imetugharimu.
  4. MKOMBOZI01

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii game hatutoboi aisee
  5. MKOMBOZI01

    Marafiki wana msaada kuliko ndugu

    Ukitaka ujue umuhimu wa ndugu zako pata matatizo ya muda mrefu. Marafiki wote watakimbia ila ndugu zako watapambana na wewe mpaka tone la mwisho.
  6. MKOMBOZI01

    Sioni Simba SC Akifuzu Kuingia Makundi Kombe la Shirikisho CAF.

    Watu waliamini tunafungwa ila ukweli ni kwamba Simba kwa Mkapa ni habari nyingine.
  7. MKOMBOZI01

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hawa bila redcard tungewashona
  8. MKOMBOZI01

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo wadau tuna game ngumu sana. Ila tunawamudu
  9. MKOMBOZI01

    Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

    Shangazi nami nataka tamuu
  10. MKOMBOZI01

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tuna wakati mgumu sana maana Ode ni mtu muhimu sana pale katikati.
  11. MKOMBOZI01

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Simba vipi mkuu leo kagoma?
  12. MKOMBOZI01

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Simba usikimbie maswali pia mlete mkuu mwenyewe ajibu kama yakiwa mazito kwako.
  13. MKOMBOZI01

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Hata mimi hilolimenipa mashaka sana. Mtume kafundisha quran kadri ilivyoshuka na katoa maana kwa uma sasa iweje huyu bwana aseme hakufasir quran zaidi ya aya 20 tu
  14. MKOMBOZI01

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Tujiepushe na shirk kadri tunavyoweza na tumuombe sana muumba wetu atuwezeshe juu ya hilo. Moja kati ya madhambi makubwa ni kumshirikisha muumba wetu.
Back
Top Bottom