Hamna mtu anahama timuKesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.
Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa
Hamna mtu anahama timuKesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.
Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa
Huyo jamaa huwezi amini alishacheza EPL akaboronga ndiyo akaenda huko.Wazee kuna huyu striker wa Sporting Lisbon anafunga kama kapandwa na kichaa.
nahis dau lake litapanda zaid ya last season ,ambapo niliamini baada ya Sesko kuchomoa tungeenda kwa jamaaWazee kuna huyu striker wa Sporting Lisbon anafunga kama kapandwa na kichaa.
Ligi nyepesi ile, mbona alikuwa Championship England akitupia ikawaje wakubwa hawakumtamani.Wazee kuna huyu striker wa Sporting Lisbon anafunga kama kapandwa na kichaa.
Hajacheza EPL ila Championship.Huyo jamaa huwezi amini alishacheza EPL akaboronga ndiyo akaenda huko.
Ila kuna ripoti zinasema Edu alienda Ureno mwezi uliopita kwaajili yake
Akili za Arteta hizo ngoja tupelekewe moto.Hivi kwanini Patey ameanza kwenye kikosi. Wakati wapo mabeki bench
Anacheza inverted positionHivi kwanini Patey ameanza kwenye kikosi. Wakati wapo mabeki bench
Hao mabeki walioko bench hamna kitu haoHivi kwanini Patey ameanza kwenye kikosi. Wakati wapo mabeki bench
Alifanyaga hivi na mwanzoni mwa msimu jana au juzi ikabackfire mbaya, leo tutakuja kukimbiana hapa.Anacheza inverted position
kuna taarifa kuwa Ben white ana majeraha kidogo hivyo huwezi kumRISKHivi kwanini Patey ameanza kwenye kikosi. Wakati wapo mabeki bench
Amekosekana Martin Odegaard na Ben White kukamilisha Dream team, usiombe ukakutana nayo hii tena iwe Emirates, utapigwa kama ngoma.
Let's hope leo tunampiga mtuAmekosekana Martin Odegaard na Ben White kukamilisha Dream team, usiombe ukakutana nayo hii tena iwe Emirates, utapigwa kama ngoma.