adriz tulia weweee. Unaskia wewe no nyauuuuu.Hii arsenal sio salama kabisa wafya za timu pinzani
2-1
adriz tulia weweee. Unaskia wewe no nyauuuuu.Hii arsenal sio salama kabisa wafya za timu pinzani
2-1
Utajua hujui leoHuyu refa anafirw××××
Ah hadi jamaa wa nyumbu kaja kulalamika 😅😅Aliyeanzisha sheria ya kupewa kadi ya njano kwa kitendo cha kupiga mpira baada ya refa kupuliza filimbi kuashiria faulo anahongwa na wachawi
Bado refa alikuwa anamuonya kawaida tu haikuwa challenge ya kulazimisha kutoa kadiTrossard bwege sana...unapigaje mpira hivyo na Una Kadi ya njano?
Arteta afanyie Kazi suala la nidhamu linatukosti Sana
Hivi wengine mnatazama mechi yenu ama? 😃😃Sio faulo ya kutaka kumvunja mgongo Bernardo Silva imempa second yellow card Trossard. Kosa ni kuupiga mpira mbali baada ya filimbi.