DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,635
- 81,535
Wewe ni mwanaumeNdugu wa kipare na kisambaa lazima aku... ndio akusikilize.
Nimehama kabila kwa sababu hiyo
Wewe ni mwanaumeNdugu wa kipare na kisambaa lazima aku... ndio akusikilize.
Nimehama kabila kwa sababu hiyo
Kabisa, rafiki halambi mkono mtupu 🐒Uongo ,marafiki watakuwepo kama wananufaika au wana mategemeo ya kunufaika na wewe,
Ndugu atakiwa na wewe kwa hali zote,kuwa makini hakuna watu wanafki kama marafiki
Upo sahih mkuu.Kila MTU Ana umuhimu wake Ila marafiki wanaweza kukisaidia kwa kiwango kikubwa
Kukutana na destiny helper wako is very easy .
Nadhani wengi wenu hamkunielewa vyema, mada imegusia michongo ya kazi na utafutaji vile marafiki wanamsaada bt nyie mnageneralise.Hakuna rafiki atayesafisha kaburi lako , NDUGu Ni Ndugu awe mbaya ama mzuri
Mada imegusia michongo ya kazi na utafutaji hivo hukupaswa kugeneralize mamboAfya na uzima unakudanganya! Ngoja uumwe kama rafiki atakusafisha mikojo yako...ndugu ni ndugu tu.
Kiujumla ndugu ni muhimu kuliko rafiki bt linapokuja suala la utafutaji na michongo ya kazi marafiki wanajitoa sana kuliko ndugu na ndo nilichokusudia kwenye mada yangu.Uongo ,marafiki watakuwepo kama wananufaika au wana mategemeo ya kunufaika na wewe,
Ndugu atakiwa na wewe kwa hali zote,kuwa makini hakuna watu wanafki kama marafiki
Mjadara ufungwe.ndugu zetu ni marafiki wa watu wengine ko wanawasaidia pia
hata sisi ni ndugu wa nduguzetu ko tuna tabia za kibwege pia
ndugu atabaki kuwa ndugu hasa kwenye nyakati ngumu mno za magonjwa na vifo
marafiki wapo kwa nyakati za raha na vishida vidogo vidogo, wenye husimama na wewe kwenye shida kubwa ni wale marafiki ambao tumesha kuwa ndugu nao.
Mwisho wakamla mbuzi!Kuna huu mfano nilisimliwa nikiwa mdogo. Kwamba jamaa mmoja alitaka kujua ndugu yake na rafiki nani anaweza kuwa naye wakati wa shida. Hivyo, siku moja alimchinja mbuzi, kisha akamfunika shuka jeupe. Ilipofika usiku, akaenda kwa rafiki yake, akamwambia "nimeua mtu na naogopa muda wowote naweza kukamatwa. Akamwambia kwamba anamwomba waende kuvuta mwili ya yule sliyeuliwa na kuutupa porini ili polisi wasije wakamhusisha kwamba amemuua mtu." Baada ya kusikiliza simulizi zima, rafiki yake akaona hiyo ni murder case, hivyo akishiriki kuvuta kwenda kumficha porini, mambo yakifichuka naye atakuwa kwenye hatia. Kwa kuona hivyo, akamwambia huyo rafiki yake kwamba huo ni msalaba wake mwenyewe, asimwingize kwenye matatizo maana familia yake inategemea. Jamaa baada ya kuona hivyo, akaenda kwa ndugu yake (brother) akasimulia kisa kizima cha kuua kama alivyofanya kwa rafiki yake. Ndugu yake akamwambia hilo ni tatizo kubwa, na kwamba asingeweza kumwacha ndugu yake kwenye tatizo kama hilo alibebe peke yake. Hivyo, alikubali kwenda kumsaidia kuvuta maiti kwenda kutupa porini. Walipofika sehemu husika huyo ndugu mtu akafunua shuka na ndugu yake huyu akakuta siyo mtu, bali ni mbuzi. Yule aliyedai kamuua mtu akamwambia "sasa naamini damu ni nzito kuliko maji, na kwamba ndugu yako hawezi kukuacha uingie kwenye matatizo." Ni simulizi linalofikirisha, lakini halitoi jibu linalofanana kwa watu/ndugu wote.
Mara nyingi marafiki mnakuwa na common interests, ndugu ni kama kaskazini na kusini saa nyingine. Kwahiyo hata baadhi ya mambo huwezi kulaumu sanaSalaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.
Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Una hojaa, usikikilizweee.Marafiki wanasolve issue za Maokoto subiri uwaze kuharisha utaona Kama kuna rafiki atasafisha uharo wako....![]()
Tusaidiane ndugu 😆Ndugu ni washenzi tu.
Ukiwa na maokoto unaajiri wajuzi wa kuhudumia mgonjwa,choka mbaya uhudumiwa na ndugu huku wakisimangwa na kuombewa dua la kifo cha haraka.Marafiki wanasolve issue za Maokoto subiri uwaze kuharisha utaona Kama kuna rafiki atasafisha uharo wako....🐒
Eti jamani 🤔sikuiz maji yanaweza kuwa mazito kuliko damu
Wewe ulishalikoroga huko umeanza lawama.Salaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.
Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Uko sahihi.Punguza matarajio mkuu,kila mtu ana hali anayoipitia na hana majibu,usiweke imani na nguvu zako kwa binaadam, maana wao hubadilika pasipo taarifa.