Embu kuwa great thinker hoja zimetolewa jadili hoja na pinga kwa kutoa hoja sio unakuja na majibu ya reje reje nyie ndio mnaoifanya JF ionekane haina maana, kama huwezi jibu hoja unaweza kaa kimya itakusaidia kutunza heshima yako.
unakumbuka madudu (mkataba) wa TTCL na celtel (airtel) wakati yeye akiwa waziri wa mawasliliano ya uchukuzi, ndicho kilicho ifanya mpaka leo TTCL imeshidwa kusimama.
Acha majungu toa sababu zinazoeleweke je hao watu hawana sifa kama hawana sifa au uwezo fafanua vinginevyo hayo ni majunngu na watu kama nyie ndio mnaiharibu JF.
msiwalau sana wanamuziki wetu kwani mwanamuziki yeye kama yy ni ngumu kusimamama peke yake kupigania maslahi yake kwa mfano promoter anaweza kusain ideal na mwanamuzk akamlipa 2million lakini jamaa akaingiza 30million, kutokana na uelewa mdogo wa mwanamuzk na pengine hajawahi kupata kiasi cha...
Dogo anaweza kujenga hoja na ni jana nimeshuhudia bunge zima likikubaliana na hoja yake ya kubadilisha kipengele fulani, katika kamati teule ya iliyoundwa kumchungaza bwana jairo na si hapo kuna siku aliwashawishi baadhi ya bunge wa ccm akiwemo mhe. simbachawene na mhe zambi walikubaliana na...
siku hizi haka kamsemo kanahit wanafunzi wakiandamana kudai mikopo wanatumika wamachinga wakiandama (baada ya kutolewa kwenye maeneo yao na kopellekwa pasipokuwa na wateja na miundombinu mizuri) wanatumika. enyi wasiasa tumechoka na longolongo zenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.