Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

Mbona haya ni mashambulizi ya kujitakia tu! Kwa UMRI na HADHI yake kwa WATANZANIA, Dr Slaa anapaswa kuwa kioo chetu sote. Awe makini tu na hawa akina mama. Wamewaangusha wengi.

Kwanini ashambuliwe bila kutaka kujua kilichomtoa josephine kwa mahimbo? maana ni rahisi kwa sisi tusiompenda kumshambulia Dr. Slaa bila kujua kilichowafikisha hapo wote watatu.

Nilimuuliza gaijin hapo kabla kwanini tunamshambulia mtu mmoja tu bila kuangalia wahusika wote watatu? sasa na wewe nataka utusaidie hapa kwanini unamshambulia Dr. Slaa pekee, una taarifa za mahimbo na josephine?
 
Hakuna cha ukali hapo, ni suala la kupima na kujiridhisha na aina ya maswali unayouliza yaendane na jinsi yako!! Kuna maswali mengine mwanaume huwezi kuuliza mkuu.

Nadhani unatakiwa kujifunza zaidi utaratibu na kanuni za kanisa katoliki juu ya sakramenti ya upadrisho. Vinginevyo tutabakia kufurahia kwa sababu ya ushabiki na chuki zetu dhidi ya watu fulani tu.

Sijakusoma kwa jazba wala munkari mkuu, huo ndio ukweli wenyewe. Na usisahau kwamba wewe ni "kijeba" hapa JF tunakusoma mara nyingi sana mkuu.
Mwita Maranya,
-Dr Slaa yuko sahihi kwenye mahusiano haya na Josephine?
-Mimi namchukia Dr Slaa?
-Sacramenti ya Upadre naifahamu kidogo. Sijamsikia Dr Slaa akilisemea hili. Ukumbuke aliukaribia Uaskofu kabisa. Makatibu wengi wa TEC wamekuwa Maaskofu.
- Ukijeba humu sina. Najifunza tu kila siku.
 
Hakuna cha ukali hapo, ni suala la kupima na kujiridhisha na aina ya maswali unayouliza yaendane na jinsi yako!! Kuna maswali mengine mwanaume huwezi kuuliza mkuu.

Nadhani tujifunze namna ya kuongea na watu. Kuanza na majibu ya kuwa suali hilo halijakuelekea kwa jinsia yako au mifano ya nguoni, haijengi, inaingia kwenye fungu la kebehi za rejareja kwa muuliza suali, ambacho si tunachokitafuta hapa

FF
Angesema kilichomtuma Dr.Slaa huko, nasi tungepata pa kuanzia kwenye huu uchambuzi na hiyo elimu uitakayo
 
Kwanini ashambuliwe bila kutaka kujua kilichomtoa josephine kwa mahimbo? maana ni rahisi kwa sisi tusiompenda kumshambulia Dr. Slaa bila kujua kilichowafikisha hapo wote watatu.

Nilimuuliza gaijin hapo kabla kwanini tunamshambulia mtu mmoja tu bila kuangalia wahusika wote watatu? sasa na wewe nataka utusaidie hapa kwanini unamshambulia Dr. Slaa pekee, una taarifa za mahimbo na josephine?
Mahimbo na Josephine sio WATU wetu. Hao ni kama mimi na wewe tu. Dr Slaa yuko ngazi nyingine kabisa katika Jamii yetu. Akikosea, iwe ni kwa bahati mbaya sana.
 
Kwangu mimi wewe "unayeibiwa" mke hadi akajitangaza kwenye majukwaa kuwa ni mchumba wa fulani una matatizo sawa na wanaobwata humu..... Kwa akili zenu huyu jamaa alishaachana na huyo "mkewe" kwa zaidi ya miaka 2 .... je aliwahi kutoa "loss report" polisi??..... au yale yale ukiwa nacho humjui thamani yake?? Sio kutumiwa kisiasa pia??
 
Hii ni dhana tu ambayo mnapenda kuishabikia sana wale msiokubaliana nae katika masuala ya kisiasa, mnaona kwamba hapa ndipo mahali pekee pa kumnanga, lakini kwakuwa hili si jambo jipya katika jamii ndio maana watu hawachukulii maanani kiviiiile!!
Kumbuka hii ni "NDOA" yake ya tatu:
-Alianza na UPADRE;
-Akawa na Rose Kamili na
-sasa huyu Josephine.
 
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.

Kama ni kisu basi kimegonga kwenye mfupa, wenye Dr Slaa wao watakushukia kama nzige.
 
Kwanini ashambuliwe bila kutaka kujua kilichomtoa josephine kwa mahimbo? maana ni rahisi kwa sisi tusiompenda kumshambulia Dr. Slaa bila kujua kilichowafikisha hapo wote watatu.

Nilimuuliza gaijin hapo kabla kwanini tunamshambulia mtu mmoja tu bila kuangalia wahusika wote watatu? sasa na wewe nataka utusaidie hapa kwanini unamshambulia Dr. Slaa pekee, una taarifa za mahimbo na josephine?
Mkuu nafuatilia mjadala kwa karibu kabisa
Naomba nilisemee hili la kwanini asakamwe Dr Slaa, staki kuamini kama hujui kwanini Dr Slaa anatazamwa yeye zaidi katika hili(rais mtarajiwa huyu bana)
Lakini pia, hivi matatizo ya mume wa Josephine na mkewe yanahalalisha Dr Slaa kufanya aliyofanya, na kwanini asinge mshauri kwanza "mchumba wake" avunje kwanza ndoa ya awali kisha yeye aendelee? hali ya kuwa sote tunajua Dr anajua vizuri sana hii dhana ya ndoa maana amefungisha nyingi na amesuluhisha na kushauri ndoa lukuki
 
Huyo ni Mzinzi, Hatuwezi kuwa na Rais Mzinzi tena mwizi wa wake za watu. Hakuna kitu kibaya kama kuiba mke wa mtu maana ni sawa na kuweka ROHO YAKO MKONONI kwa hilo lolote linaweza kumtokea
 
Sasa mwalimu, nataka tuzungumze hapa bila ushabiki ili kuelimishana na kusaidiana kwakuwa mambo haya yanatokea kila siku.

Ikiwa Josephine anatambua kwamba aliwahi kuolewa na mwanaume mwingine lakini kutokana na sababu ambazo sisi hatuzijui tukaja kumkuta anaishi na Dr. Slaa, kwanini lawama anabebeshwa mtu mmoja tu hapa? mbona hatujipi jukumu la kutaka kujua kilichomtoa kwa mahimbo ili tuwe fair kwa watu wote watatu?

hivi dr sio padre tena?alifanya nini huko madhabauni kilichomfanya avuliwe upadre ambacho anadhani akiwa rais mfano hatakirudia?
 
Mkuu nafuatilia mjadala kwa karibu kabisa
Naomba nilisemee hili la kwanini asakamwe Dr Slaa, staki kuamini kama hujui kwanini Dr Slaa anatazamwa yeye zaidi katika hili(rais mtarajiwa huyu bana)
Lakini pia, hivi matatizo ya mume wa Josephine na mkewe yanahalalisha Dr Slaa kufanya aliyofanya, na kwanini asinge mshauri kwanza "mchumba wake" avunje kwanza ndoa ya awali kisha yeye aendelee? hali ya kuwa sote tunajua Dr anajua vizuri sana hii dhana ya ndoa maana amefungisha nyingi na amesuluhisha na kushauri ndoa lukuki
kumbe miongoni mwa chadema kata wapo angalau wenye akili na uthubutu wa kuhoji eeh!
 
Hii ni dhana tu ambayo mnapenda kuishabikia sana wale msiokubaliana nae katika masuala ya kisiasa, mnaona kwamba hapa ndipo mahali pekee pa kumnanga, lakini kwakuwa hili si jambo jipya katika jamii ndio maana watu hawachukulii maanani kiviiiile!!

Ni kweli kabisa na ndio siasa za ushindani zilivyo,tanzania inaonekana tutachukua muda mrefu sana kuzizoea,yako mawili,ni maisha yake ya kujamiiana na ndoa kiujumla pia na ile PHD yake!kwa haya hatutamuachia abadan,tutaendelea kumuandama mpaka kieleweke,hatuwezi kuwa na watu wanaishi kihuni huni tu halafu tuwape dola,no way!
 
Hv yule Rose Kamili alimuoa au pia alikuwa ni mchumba wake tu?walizaa watoto?Hili suala naona linamuharibia sifa Slaa bora angeachana tu na haya mambo ya kurukia wanawake atafute mmoja aoe!!Kumbuka huyu alikuwa ni Padre sasa anaonyesha picha gani kwa waumini mpaka umri huu kuwa na watoto wa nje ya ndoa na kuwa na wachumba?(Rose na baadae Josephine)!Hv anaweza kunishawishi vp kuwa enzi za utumishi wake wa kanisa alikuwa hana haya mambo?

Halafu nisaidieni kidogo kama nakosea,si huyu huyu Slaa kati ya mwaka 2000 to 2005 alifumaniwa guest na mchumba wake Rose akiwa na mwanamke mwingine Dodoma au namfananisha?Nadhani sababu moja wapo iliyomtoa kwenye upadre ni vidosho aisee!Ama kweli Ng'ombe hazeeki maini!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom