Katiba inayo badilishwa ni JMT na si ya zanzibar sasa wao wachangie nini?
Lakini wabunge wao walikomaa kupitisha mjadala wa katiba...
Wao ni sehem ya muungan0
Serikali ya Mapinduz ya zanzibar imesema kamwe haitachangia gharama za mchakato wa kuunda katiba mpya,imedai kuwa jukumu la kugharamia ni la Serikali ya Jamhuri ya Muungano
sosi:NIPASHE,25 N0VEMBER,2011
kwa katiba ipi mkuu?
Sasa unashangaa nini? Kwani serikali ya muungano ililipia gharama za kutengeneza katiba ya Zanzibar?
Sasa unashangaa nini? Kwani serikali ya muungano ililipia gharama za kutengeneza katiba ya Zanzibar?
Wamo ktk huo muungano,ukisema hivyo unamaana hawastahili kuwemo kwenyo mijadala then! The equation inawapa haki ya kushiriki ktk mchakato hence kuchangia pia au ndo unamwono wa ladies first? Kwenye kula raha tu,kwenye matatizo wawe wamwisho,hakuna hiyo,wanachotakiwa ni kugombea kwamba nchi mwenza atambulike ili usawa wa kuchangia uwepo!Katiba inayo badilishwa ni JMT na si ya zanzibar sasa wao wachangie nini?