Hatimaye Prof Mwandosya arejea Tanzania toka matibabu India

Niliandika kwamba namfahamu Prof Mwandosya kwa kiasi fulani. Kwanza hakuna mtoto wake aliyesoma Afrika kusini, sasa labda ungesema alihongwa ticket ya kumpeleka mtoto wake Afrika kusini. Sasa hata kama Mwandosya angekuwa mtu wa hongo, asingekuwa mtu wa kumhonga tiketi ya mtoto wake kwenda Afrika kusini. Akili yake ni kubwa sana zaidi ya hongo ya ticket, au kuweza kuhatarisha hadhi yake ya waziri kwa hongo ya ticket ya ndege kwenda Afrika ya kusini, ambayo kwa sasa gharama yake ni kama Tshs 1M. Najua unafikiri kila mtu ni wa aina ya watu wa kuhongwa suti na vitu vidogo kama hivyo wakaingilika. Kama huna la kusema kaa kimya, maana kwa watu wengine upumbavu wao unakuwa dhahiri wanapofungua midomo.

Kutokana na unavyo shadadia hili jambo kuna mambo mawili yaliyo dhahiri, kwanza huenda hujui ulisemalo, pili huenda umependa hivyo chongo unaita kengeza.

Ukweli ni kwamba mtoto wa kike (sikumbuki jina lake) wa Mwandosya alihongwa scholarship ya kwenda kusoma South Africa, na kampuni ya simu lengo likiwa Mwandosya aipendelee hiyo kampuni kwenye tenda iliyokuwa imeomba serikalini, wakati huo Mwandosya akiwa waziri wa mawasiliano.

Pili Mwandosya mwenyewe alihongwa air ticket ya kwenda S. Africa na kulipiwa 3 nights stay in a five star hotel na same company alipokwenda kum-visit huyo binti yake. The reccord is there. Mimi sisemi binti huyo hakuwa na akili the question here ni kwamba alihongwa scholarship. Ingekuwa ni nchi za wenzetu hata huo uwaziri "unaomtafuna leo afya yake" asingekuwa nao. Eti hawezi kuhongwa air ticket atahatarisha uwaziri wake (poor reasoning) kama rais anaweza kuhongwa suits 5 tu itakuwa waziri, get real dude.

Ninakupa challange ndogo wewe unayemshadadia Mwandosya. Miaka yote ya Mwandosya tangu akiwa PS na baadaye waziri amewafanyia kitu gani watanzania cha kupigiwa mfano? Mention a single outstanding achievement of Prof. Mwandosya to this nation?

Sawa mimi mpumbavu sasa wewe mwerevu the ball is in your court, and the JF will be the judge!
 
Hakuna anaejaribu kumsifu au kuonesha kwamba anafaa kuwa Rais,swala ni kwamba Amepona na sisi tunashukuru Mungu maana Wabunge wetu wawili walikuwa India na magonjwa mengine yanashangaza au hukumsikia Sitta alivyo sema wengine alitufumbua macho!

Mimi nafahamu and I stand to be corrected walikuwepo wabunge watatu India, kwa majina Mh. Mwandosya, Mh. Zitto na Mh. Mwakyembe. Au kwako wewe wabunge ni wa CCM tu. Myopic like Nape eti Tanzania ni ya wana CCM tu.

Kuhusu Mtoto wake kusomeshwa SA hayo ni majungu ya hao hao akina lowassa unaowafagilia hata salim walisema ni Mwarabu na Ndugu yake ni general wa Jeshi huko Oman,wakamtukana wee kumaliza na mkatuambia sumaye ana trilioni kumi, sasa dhambi zenu zimewageukia mmeanza kupambana ninyi kwa ninyi, hayo ndiyo madhara ya kupakana matope sasa unatuambia ujinga wa TTCL unadhani wajinga watanzania siku hizi?

It seems you have a short memory, from my first message, I argued Tanzanians to think/look out of the box (read CCM). I'm not a funny of CCM because I'm not insane (LoL).

Kwani aliyekuwa anafanya maamuzi ni waziri au Baraza la waziri? na mwenyekiti wake aliua Mwandosya? hata jairo tu waziri mkuu kashindwa kumfukuza,ndiyo iwe waziri kubinafsisha shirika?

Welcome to Life on Mars! Hivi Karamagi alipokuwa ana-sign MoU ya Buzwagi hotelini London hilo baraza la mawaziri halikuwepo? Hivi Wakati Chenge anaishauri serikali kununua rada ya bei ya kuruka hilo baraza la mawaziri halikuwepo? Hivi wakati Lowasa anaingia mkataba tata wa Richmond hilo baraza la mawaziri halikuwepo? Hivi wakati Mramba anaisamehe mabilioni ya pesa kampuni ya Sterwart hilo baraza la mawaziri halikuwepo? the list is endless. You real look like a laughing stock!

Usitudanganye bwana! Mimim ushauri wangu Prof achana na Mambo ya siasa si unaona watu wenye vichwa vya panzi wameanza maneno yao ya kijijnga!hiyo story ya Mtoto wa mwandosya kamuulize vizuri Mwambulukutu anaijua alivyotumiwa!

Ushauri wako kwa Prof ni mzuri, but the timing is bad, it is too late and the damage have been already inflicted to the health of Prof and it is irreversible.

Nikamuulize Mwambulukutu? Kwani huyo binti wa Prof alisoma kwa scholarship ya Serikali. BTW, msiofahamu Mwambulukutu wakati huo alikuwa balozi wetu S. Africa. I repeat again in black and white, huyo mtoto alisoma kwa kwa kulipiwa scholarship na kampuni ya simu kama hongo. Well mimi kichwa panzi at least ninaweza kufanya simple arithmetic 1 + 1 = 2. Wewe ambaye I assume ni big empty headed mbona unatuambia 1 + 1 = 11?
 
Ninakupa challange ndogo wewe unayemshadadia Mwandosya. Miaka yote ya Mwandosya tangu akiwa PS na baadaye waziri amewafanyia kitu gani watanzania cha kupigiwa mfano? Mention a single outstanding achievement of Prof. Mwandosya to this nation?

Sawa mimi mpumbavu sasa wewe mwerevu the ball is in your court, and the JF will be the judge!

Ukiwa sober halafu ukaamua kubishana na mlevi....Huwa sifanyi hivyo. Naamini hicho ni kipimo kimojawapo cha busara yangu.
 
Ukiwa sober halafu ukaamua kubishana na mlevi....Huwa sifanyi hivyo. Naamini hicho ni kipimo kimojawapo cha busara yangu.

Utawajua walioshiwa hoja ........... BTW, sijawahi kufundishwa/kuambiwa kwamba kukimbia hoja ndiyo busara.
Kama busara ndiyo hizo calling names (eti mlevi), basi hustahili kuwa Spin Doctor wa Professor.
 
Kutokana na unavyo shadadia hili jambo kuna mambo mawili yaliyo dhahiri, kwanza huenda hujui ulisemalo, pili huenda umependa hivyo chongo unaita kengeza.

Ukweli ni kwamba mtoto wa kike (sikumbuki jina lake) wa Mwandosya alihongwa scholarship ya kwenda kusoma South Africa, na kampuni ya simu lengo likiwa Mwandosya aipendelee hiyo kampuni kwenye tenda iliyokuwa imeomba serikalini, wakati huo Mwandosya akiwa waziri wa mawasiliano.

Pili Mwandosya mwenyewe alihongwa air ticket ya kwenda S. Africa na kulipiwa 3 nights stay in a five star hotel na same company alipokwenda kum-visit huyo binti yake. The reccord is there. Mimi sisemi binti huyo hakuwa na akili the question here ni kwamba alihongwa scholarship. Ingekuwa ni nchi za wenzetu hata huo uwaziri "unaomtafuna leo afya yake" asingekuwa nao. Eti hawezi kuhongwa air ticket atahatarisha uwaziri wake (poor reasoning) kama rais anaweza kuhongwa suits 5 tu itakuwa waziri, get real dude.

Ninakupa challange ndogo wewe unayemshadadia Mwandosya. Miaka yote ya Mwandosya tangu akiwa PS na baadaye waziri amewafanyia kitu gani watanzania cha kupigiwa mfano? Mention a single outstanding achievement of Prof. Mwandosya to this nation?

Sawa mimi mpumbavu sasa wewe mwerevu the ball is in your court, and the JF will be the judge!

Kazi ya EL na JK bado imeingia vichwani mwa watu mpaka leo..pole we!

hawa watu, akina sumaye na wote waliokuwa likely kuwa marais walizuliwa vitu vikubwa sana

nakuhakikishia sio kwa kumpendelea, huyu jamaa fedha alikuwa nayo na anayo.

ebu weka details hapa kuhusu hili swala!
 
hamna ujuaji ujinga huu....mtu kadanganywa , kaishi kwenye uongo na bado anaamini ni kweli, ni wa kuonewa huruma huyu..

Nimeweka hapo facts, badala ya kuzipinga kwa hoja or to explain the other side of the coin, you have jumped to name calling (ujinga). Fun enough you're calling yourself a greater thinker (SIC).

Inaelekea wewe ndiyo wale wale wabunge wa CCM A na CCM B walioshia kumjadili Tundu Lissu na CDM badala ya kujadili mswaada wa marekebisho ya katiba uliokuwa mbele yao. Eti leo ndiyo CCM B wanasituka na kwenda IKULU kupeleka mapendekezo yao wakati mda wao bungeni waliutumia kumshambulia Tundu Lissu.

Kweli watanzania tunaye Rais, sijui huo mda wote wa kupoteza unaupata wapi?
 
Niliandika kwamba namfahamu Prof Mwandosya kwa kiasi fulani. Kwanza hakuna mtoto wake aliyesoma Afrika kusini, sasa labda ungesema alihongwa ticket ya kumpeleka mtoto wake Afrika kusini. Sasa hata kama Mwandosya angekuwa mtu wa hongo, asingekuwa mtu wa kumhonga tiketi ya mtoto wake kwenda Afrika kusini. Akili yake ni kubwa sana zaidi ya hongo ya ticket, au kuweza kuhatarisha hadhi yake ya waziri kwa hongo ya ticket ya ndege kwenda Afrika ya kusini, ambayo kwa sasa gharama yake ni kama Tshs 1M. Najua unafikiri kila mtu ni wa aina ya watu wa kuhongwa suti na vitu vidogo kama hivyo wakaingilika. Kama huna la kusema kaa kimya, maana kwa watu wengine upumbavu wao unakuwa dhahiri wanapofungua midomo.

unakumbuka madudu (mkataba) wa TTCL na celtel (airtel) wakati yeye akiwa waziri wa mawasliliano ya uchukuzi, ndicho kilicho ifanya mpaka leo TTCL imeshidwa kusimama.
 
Kama kweli, basi karibu nyumbani Prof Mwandosya. Kila la kheri.

Labda maswala ya maji sasa yaatanza kushughulikiwa na sie walalahoi kuondokana na adha hii
 
Well, I like the person of Dr. Mwandosya, I like his character na ninamuombea kwa Mungu apone haraka, Otherwise I like this thread ina michango iliyokwenda Shule inanifanya niwe Proud to be a JF member.
 
Mpiganaji karudi, isipungue jitihada yako wala uwezo na nia yako, hatuna jeshi wala silaha, bali maombi yalo kuinua tena kwa mkono wa Mungu, yatawazimisha walo kinyume na haki kama wapo waliokua sababu ya matatizo yako.
 
Back
Top Bottom