Recent content by Mkali Tozz

  1. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Ni ipi maana halisi na tofauti zake......!!!

    ndiomaana nikasema hayo maneno yantafsiriwa zaidi kutokana na feedback za Physically and mentaly juu ya jambo au tendo fulani kufanyika
  2. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Ni ipi maana halisi na tofauti zake......!!!

    Hata mimi najiuliza hivi kufanya mapenzi ni raha, furaha au utamu? Kula chakula ni raha au utamu?
  3. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Brief Report on Tanzania from Dutch Bank (Contrasted)

    Hii ni sawa na ile report iliyo wazungusha wazungu city centre, then wakatoa report kwamba Dsm in general ndio jiji safi kupita yote ukanda wa africa mashariki! Tatizo naloliona hapo ni accuracy ya data zinazotumiwa hapo kenye hiyo tathmini hasa upande wa strength!
  4. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala: Man faints after DNA tests disregard him as boy's dad

    at the age of 5? I don't think if it is good idea to undergo the paternity test! if at all you are both living a very peaceful marriage.
  5. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Membe: Malawi haiwezi kuishtaki Tanzania ICJ, Tanzania haiitambui ICJ

    Hii ishu ya mpaka ziwani ni kubwa mno, serikali waipe uzito unaostahili, wasije wakazani ni kama wanadili na CDM useme watafojifoji kama walivyozoea kuwafanyia CDM. Tanzanians, we real need very constructive argument and impeccable evidence for outwitting this little nation, I real doubt...
  6. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Membe: Malawi haiwezi kuishtaki Tanzania ICJ, Tanzania haiitambui ICJ

    Hapo kwenye red , ninamashaka makubwa kumbe hata TZ hawana hizo nyaraka, waziri anapata wapi ubavu wa kuwahakikishia wa TZ ushindi mapema hii wakati bado wanatafuta nyaraka?
  7. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada mwenye kuhimili zaidi ya goli tano.

    Hizi thread zingine ni utata mtupu! Duh
  8. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania intention ya mwanaume ni nini?

    sometimes mwanaume akimtamani mwanamke, anaanzaga na gia ya urafiki kwanza.. then anausoma mchezo..baadae lazima uliwe, ikishindikana urafiki unakufa taratibu..!
  9. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania natafuta boyfriend

    hata mume anaweza kuanzia Uboyfriend! Mbona unamsemea? kama na wewe pia unatafuta b..sha jitangaze pia!
  10. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Raped bya Own Brother.....

    Dolphin anayonyesha? atakuwa reptile au amphibia? wanabiology watatusaidia
  11. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania natafuta boyfriend

    unatafuta mume au boyfriend?
  12. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu RENATUS MKINGA?

    That is the power of money! It is easy to turn HERO to BLUFF,
  13. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UN azungumzia mpaka wa Ziwa Nyasa

    Mheshimiwa Dhaifu , pigania hilo la mpaka kwa nguvu zako zote, umalize madaraka yako kwa kumbukumbu iliyotukuka. Tumia exposure yako ya kimataifa na nguvu ya safari zako za nje kuwasomesha. Ingawa nasikia majadiliano yako na Aunt JOY walishayachomolea.
  14. Mkali Tozz

    JamiiForums Tanzania Raped bya Own Brother.....

    mamal and amphibia, is it possible?
Back
Top Bottom