natafuta boyfriend

Kwani wewe ambacho hukielewi hapo ni kipi? Kasema anataka boyfriend na siyo mume! Akili zingine bwana? Au na wewe ulifaulu Std VII pasipo kujua kusoma, kuhesabu wala kuandika? Nyie ndio huwa mnaandika majina yenu kwenye sehemu ya Jina la Shule!

hata mume anaweza kuanzia Uboyfriend! Mbona unamsemea? kama na wewe pia unatafuta b..sha jitangaze pia!
 
Mbona unaonekana ni mvivu??.......hatakujieleza uwezi!!(Mweuc,co)Wewe unamatatizo kwa hali hiyo utampata wa jinsia yako mvivu kama wewe!
 
Kwani wewe ambacho hukielewi hapo ni kipi? Kasema anataka boyfriend na siyo mume! Akili zingine bwana? Au na wewe ulifaulu Std VII pasipo kujua kusoma, kuhesabu wala kuandika? Nyie ndio huwa mnaandika majina yenu kwenye sehemu ya Jina la Shule!

duuuu!!! we mkari umenipa raha kweri.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom