Kigoma uko fuuluuu....kama simu yako ina redio na una head phones weka usikilize.. .fanya mvinu mbadala upate huu mjadala.ni muhimu kila mtanzania asikie haya ile mwakane aamue bila kushurutishwa na mtu yoyote wapi ataweka karata yake.Tuliwe kwa Siti bin Mtevu bin nasafiri sana bin sijajiandaa...
Mikocheni B umekatika toka asubui saa moja adi saa mbili hivi ndio umerudi.Nilipita pia kariakoo mida ya saa tano ivi yaani ni kelele na moshi wa majenereta.....faza house hana habari yuko nje ya nchi.
Kuna clinic ipo karibu na traffick makao makuu...inaitwa IDC.....ukifika mitaa ya stesheni ulizia traffic makao makuu ukiwa hapo traffic ulizia kituo cha afya ni jirani kabisa...kwa nini uende private kulipia wakati dawa ni bure....nilikua mfanyakazi wa kituo hicho ila nimeondoka....but najua...
Hii ajali ya siku nyingi karibu mwezi sasa! And he is ma inlaw! Uliotoa hii picha uwe unafikiria asume its your relative, watu tumeshazika tumesahau alafu unakutana na hii mambo.sio fresh in short.
Nakumbuka alisema kwamba Asia should be careful in their airlines.....I know the country and I will send a letter through the embassy..hapo ni mwaka jana.i hope he did lakini imani za watu na mambo ya utabiri huwezi jua wali ignore...nakumbuka hata kifo cha michael jackson alimtuma mtu amwambie...
Ooh no...mtoto anaumia sana...Mungu mponye mtoto huyu.mkuu ulioleta hii thread ungefanya na mchanganuo wa gharama za matibabu ingesaidia zaidi kujua ni gharama kiasi gani...wako ambao wangetamani wamsaidie hadi apone.i will play my part.
Sidhani kama ni kweli.....nachojua ni kwamba hata ukisoma education....unaeza soma masters ya kitu kingine so long as una qualifications za kujiunga na hiyo kozi....personally nilisoma nursing diploma, nikasoma social work first degree na sasa napiga masters ya public health....usikate tamaa.
''Nilisoma story moja ya budaa mmoja aki ni msonko sana alikua gangstar , story yake ilinifanya niogope sana hadi nikaacha ngeta ndo nikaoka niko rada juu niko na ma blessings sana.!! Haha I luv this people when they talk sheng.
Pole sana mkuu.....ila nikutie moyo kua thats not end of life....u still have a chance so long as unapumua.Namwamini sana T.B Joshua kwa sababu nimeshuhudia mtu/watu wenye tatizo kama lako na wamepona kabisa...totaly healed.Kama uko dar fika benjamini mkapa tower wana ofisi zao pale na utapata...
Mi nachoelewa kuna ile huduma ya HBC ambapo ni Home Based Care watu wanahudumiwa majumbani mwao na hao hbc care givers na vilevile wanahamasisha upimaji kwa wanafamilia wengine ambao hawajapima ikiwa ni pamoja na watoto.Lakini changamoto ipo pale ambapo unakuta mgonjwa huyu hajaishirikisha...
We vp babu? Pipo are talkin serious ishu we unaongea matapishi gani? Usikose utu.ushaambiwa watekaji ni kama kumi na tano au sita sasa huo uzito ukatoka wapi.agrrrrt
I know this guy alikua UNICEF Kibondo-sasa ivi yuko Sri lanka ila alienda Nairobi kikazi ndo akakumbwa mkasa huo>Mungu wape afya wale wote walioumizwa.
Oh nooooo.....God have mercy to these people....wameshateseka vya kutosha toka jumamosi, sidhani ata kama kuna alieweza kupata hata tone la maji...yupo mtoto wa siku mbili anashikiliwa na watekaji....eeeh Mungu miujiza yako sasa itendeke.kwa explosion hii...watu watakufa hata ambao wako nje ya mall.
Mkuu usikate tamaa....still unaweza kupata mtoto....Yesu kristo yupo kwa ajili yetu it is possible na inawezekana kabisa naamini.Pata pia anointing water au sticker pray with it and with faith it shall be done.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.