Ni ktk eneo la Buzuruga jijini Mwanza
Ya lini mkuu?
Acha uongo wako, hii ajali imetokea siku nyingi sana na ilikuwa ni nyerere road kwenye mataa
Ilitokea mwezi wa tano mwanzoni
Sio kweli,mbona hukutuwekea hapa jukwaani tukapata habari.
Ilitokea mwezi wa tano mwanzoni
Tumia akili kwani kwenye maelezo yangu nimeandika lini ajali imetokea?
Kijana aliebeba rasket(begi mgongoni) akiwa ktk bodaboda alinaswa na kuvutiwa uvunguni mwa roli walilokua wanaovatek.
Begi ndo lilisababisha avutwe baada ya kunasa.
Hii ajali ya siku nyingi karibu mwezi sasa! And he is ma inlaw! Uliotoa hii picha uwe unafikiria asume its your relative, watu tumeshazika tumesahau alafu unakutana na hii mambo.sio fresh in short.
Pokea like mkuu, mtu anakurupuka tu kuleta hbr ambazo zilishapita tena na picha za kutisha, humu ndani pengine kuna ndg wa marehemu unadhani wanajisikia vipi?
Una uhakika gani kama hiyo habari ilifika hapa? Na ni kipi cha ajabu hujui kwamba hata wewe utakufa kifo usichokijua
Lakini katoa tahadhari kwenye kichwa cha habari "Picha inatisha-Ajali Mwanza"
Kijana aliebeba rasket(begi mgongoni) akiwa ktk bodaboda alinaswa na kuvutiwa uvunguni mwa roli walilokua wanaovatek.
Begi ndo lilisababisha avutwe baada ya kunasa.