Kwa taarifa tu mpemba na mchaga ktk mambo ya pesa wako pamoja sana na wanaitana bwaashee na wanaushilikiano mkubwa sana kuliko ktk kupata mali au pesa popote au mazingira yoyote ndio maana kona zote wapo ktk utafutaji bwaasheeeeeeee upo
Hapa magomeni mwebechai sukari leo tumenunua kilo kwa 2800 hatareel 4, post: 16414740, member: 346519"]WANA JF HESHIMA KWENU WOTE
Kwa muda sasa kumekuwa na tatizo la sukari kutopatikana maeneo mengi kutokana uamuzi wa serikali kuzuia vibali vya kuagiza sukari bila kujipanga.
Mwenzi uliopita...
Bi faiza...nimeanza kuumpa bint yangu hiyo tiba ya pumu kama ulivyo elekeza ya karafuu leo ni siku ya 5 na alhamdulilah leo ameanza kwenda shule. inshaallah iwe tiba kwa bint yangu na wengine pia amin
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.