Fahamu maana ya uchawi...

Fahamu maana ya uchawi...

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Posts
581
Reaction score
520
Habari zenu wana JF natumaini wazima wa afya poleni na majukumu
Leo nataka niwajuze kidogo kuhusu uchawi.....

Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.

Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.

Kwa mujibu wa vitabu vya dini uwezo na nguvu zote za asili ni za Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo, hivyo yeye anampa mwanadamu uwezo kadiri tofautitofauti kama apendavyo, kwa maana uwezo huo hufanya kazi katika hali ya kubahatisha, yaani ni bahati, hakuna mwenye mamlaka ya kuongoza uwezo huo wa asili ila Mwenyezi Mungu.

Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za asili katika hali (hasi) wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia, hawajui kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa nguvu zote za asili ikiwa ni pamoja na wanadamu.

Elimu pia inaweza kusaidia kuondoa imani hizo kwani hata baadhi ya madhehebu ya dini zinachochea kuziamini imani hizo. Wasomi wa karne ya 21 wanapinga imani hizo potofu ambazo zimesababisha mateso kwa wazee wasio na hatia hasa vijijini wakishtumiwa uchawi. Tena kumekuwa na mafarakano na chuki katika jamii na familia mbalimbali kwa ajili ya imani ya uchawi; kwa mfano, watu kuuana, kuharibiana mali na mifugo kwa kuhisiana uchawi kwa sababu ya watu waliopandikizwa imani za kishirikina.

Serikali ya Tanzania imetumia jitihada zaidi pamoja na kuelimisha wananchi hasa kutokana na suala la imani potofu na tafsiri mbaya ya uchawi ambayo imepelekea watu takribani 5000 kupoteza uhai toka mwaka 1961 kutokana na mateso, kuchomewa nyumba na vibanda katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Shinyanga na mikoa mingine; ni vilevile katika sehemu mbalimbali za Afrika ya Mashariki na ya Kati. Mwaka 2008 Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alilaani uchawi kama chanzo cha mauaji ya maalbino 25. Imani hizo potofu ni maarufu hata kwa viongozi japo kwa siri.

Unaruhusiwa kuchangia, kuongezea chochote kile... Mshana Jr

Karibunii..
 
Acha kutulisha "Baga na Piza" za kienyeji wewe!

Umesema "Wanaotumia uchawi kwa njia hasi, wanamkosea sana Mungu?"

Hakuna kitu kama hicho, nakataa...

Uchawi ni uchawi tu, hakuna uchawi mzuri wala uchawi mbaya.

Maana ukisema wanaotumia uchawi vizuri Mungu anawapenda, na ukasema wanaotumia uchawi vibaya Mungu anawachukia, Ni sawa na useme eti,

"Anayekula "JICHO" Kwa makubaliano, Mungu anampenda, Na anayekula JICHO kwa kubaka, Mungu anamchukia".

Yaani ni hivi, wewe kama umezoea kula au kuliwa jicho la nyuma (cc; Amber Rutty) Wewe ni motoni tu, hakuna cha kuliwa jicho vibaya wala vizuri.

Narudi.
 
Habari zenu wana JF natumaini wazima wa afya poleni na majukumu
Leo nataka niwajuze kidogo kuhusu uchawi.....

Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.

Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.

Kwa mujibu wa vitabu vya dini uwezo na nguvu zote za asili ni za Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo, hivyo yeye anampa mwanadamu uwezo kadiri tofautitofauti kama apendavyo, kwa maana uwezo huo hufanya kazi katika hali ya kubahatisha, yaani ni bahati, hakuna mwenye mamlaka ya kuongoza uwezo huo wa asili ila Mwenyezi Mungu.

Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za asili katika hali (hasi) wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia, hawajui kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa nguvu zote za asili ikiwa ni pamoja na wanadamu.

Elimu pia inaweza kusaidia kuondoa imani hizo kwani hata baadhi ya madhehebu ya dini zinachochea kuziamini imani hizo. Wasomi wa karne ya 21 wanapinga imani hizo potofu ambazo zimesababisha mateso kwa wazee wasio na hatia hasa vijijini wakishtumiwa uchawi. Tena kumekuwa na mafarakano na chuki katika jamii na familia mbalimbali kwa ajili ya imani ya uchawi; kwa mfano, watu kuuana, kuharibiana mali na mifugo kwa kuhisiana uchawi kwa sababu ya watu waliopandikizwa imani za kishirikina.

Serikali ya Tanzania imetumia jitihada zaidi pamoja na kuelimisha wananchi hasa kutokana na suala la imani potofu na tafsiri mbaya ya uchawi ambayo imepelekea watu takribani 5000 kupoteza uhai toka mwaka 1961 kutokana na mateso, kuchomewa nyumba na vibanda katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Shinyanga na mikoa mingine; ni vilevile katika sehemu mbalimbali za Afrika ya Mashariki na ya Kati. Mwaka 2008 Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alilaani uchawi kama chanzo cha mauaji ya maalbino 25. Imani hizo potofu ni maarufu hata kwa viongozi japo kwa siri.

Unaruhusiwa kuchangia, kuongezea chochote kile... Mshana Jr

Karibunii..
Nakuja... Usiogope chagizo na majibu utakayopata kutoka kwa wachangiaji
 
Sishangai sana mkuu, sabb watu wote au karibu aslmia yote ya watu wanaokamatia dini huwa pia wanaamini ktk uchawi.
UKIWAFATA VIONGOZI WA DINI KICHWA KICHWA TU BASIIIII MAISHA YAKO YATAKUWA YA HOFU SANA, PIA NA THE SO CALLED "WAGANGA" UKIWAFATA NAO UTALIWA MPK BASI. (Watu wanatumia akili kula pesa yako).
Haya ndo yale unakuta mtu hasomi afu anasema MUNGU atamsaidia kufaulu Mtihani shuleni [emoji2]
Watu wenye ngozi nyeusi sie tuna ujinga sana, kila kitu ambcho hatukijui tunasingizia UCHAWI [emoji2] Badala ya kuongeza UTAFITI na MAARIFA kukifanyia UCHUNGUZI.
Trust me, Waafrica tungekuwa pekee yetu duniani bhaaasi mpk leo tusingekuwa hata na Baiskeli... Hata UMEME huu tungesema ni UCHAWI. [emoji2]
Maana akili zetu bana hatunaga Utafiti wala kujiuliza," Kwa nn kitu flan kipo hivi na sio vile?" afu kisha kuongeza Utafiti na kujaribu kujua ni kw nn.
(Mwafrica kila ktu ambcho hakijui anasema ni Uchawi)
Hata MTU akiumwa magonjwa ya akili, Waafrica utasikia ,"YULE KAROGWA" [emoji2]
Waafrika hata mtu akifariki utasikia "YULE KAFANYWA MSUKULE au KAFARA".
Hata kwenye soka watu wana imani za ajabuuuu ajabuuuuu Mara sijui wafukie nn mara nini sijui LAKINI WAAFRICA NA TIMU ZETU KUFUNGWA KUPO PALEEE PALEEE!!
Na kuna mtu mpk leo anaamini kuna KUPAA KWA UNGO [emoji2]
Hata INTERNET hii Waafrica tungesema ni UCHAWI [emoji23]
#TypicalAfricanMind
Mwafrica asione tu BUNDI usiku basiiiiii kashapagawaaaaaa.. Wakati BUNDI ni Nocturnal Animal (bird) ambaye huruka na kufanya mawindo yake wakt wa usiku...
FISI ndo tunamuonea kabisaaaa, Yaani hadithi za Kale zile Watu wakt wa ucku kukaa na Babu kusimulia stori bhaaaasiii ndo tumezifanya UKWELI sasa..
Mwafrica hata Teknolojia ya BUNDUKI tu angesema ni Uchawi mpk leo.
RADI ikipiga tu Mwafrika anasema imetumwa hiyo. (HIVI JE TUNAJUA KUWA KWA WASTANI RADI HUWA INAPIGA KTK USO WA DUNIA KILA SIKU KTK SEHM MBALMBAL ZA DUNIA?)

Uzuri ni kwamba IMANI POTOFU huwa zinaenda zikiisha, Kadri vizazi na vizazi vinavyozidi kwenda.
MFANO:- Sidhani km kuna mtu bado anaogopa kuvaa NGUO NYEKUNDU kwa kuhofia kupigwa RADI.[emoji41]
WAAFRIKA BANA, DAAAH TUMEFANYA NDUGU ZETU ALBINO WAISHI KW WASIWASIIII, MTU ANASHINDWA HATA KUJIONGEZA KUWA KM UKIWA NA KIUNGO (kidole, mkono) CHA ALBINO BASI UTAPATA MALI NA PESA, BASIIIII NDUGU ZETU ALBINO WANGEKUWA NDO AKINA MO DEWJI, BAKHRESA, MUFURUKI, R.MENGI, ROSTAM etc. KUTOKANA NA UKWELI KWMBA TAYARI YEYE MWILI MZIMA NI ALBINO. [emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2] Ndo sabb hata MUNGU kajificha haonekani... Maana "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
Kitu "Intellectual" hakunaga kw Mwafrica, Mwafrica akil yake kila KTU anawaza "Superstition" tu.

#ThisisAfrica
HATA ULAYA HUKO ZAMANIIIIIIIIIIIII WALIKUWAGA NA IMANI HIZI KUAMINI, LAKINI BAADAE WAKAONA NI POROJO TU IMANI POTOFU AMBAZO NI BLAH! BLAH! TU NA HAKUNA KITU KM HIYO.
#KwaLeoTuishieHapa

#KufikaTutafikaLakiniTukiwaTumechoka

Trust me Waafrika hata Mobile Phones hizi tungesema ni Uchawi [emoji2][emoji2]
Ukiwafata Viongozi wa Kidini kichwa kichwa tu basi utaishi maisha ya Hofu sanaaaa.
Na ukiwafata the so called "waganga" nako utajikuta kila pesa yako inaliwa na hao. Na utakorofshana na wenzio (maana waganga kila mkosi watasema ni jirani au ndugu yako)"
#MtazamoTuLakini #UsipelekwePelekweKamaKondoo

Habari zenu wana JF natumaini wazima wa afya poleni na majukumu
Leo nataka niwajuze kidogo kuhusu uchawi.....

Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.

Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.

Kwa mujibu wa vitabu vya dini uwezo na nguvu zote za asili ni za Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo, hivyo yeye anampa mwanadamu uwezo kadiri tofautitofauti kama apendavyo, kwa maana uwezo huo hufanya kazi katika hali ya kubahatisha, yaani ni bahati, hakuna mwenye mamlaka ya kuongoza uwezo huo wa asili ila Mwenyezi Mungu.

Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za asili katika hali (hasi) wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia, hawajui kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa nguvu zote za asili ikiwa ni pamoja na wanadamu.

Elimu pia inaweza kusaidia kuondoa imani hizo kwani hata baadhi ya madhehebu ya dini zinachochea kuziamini imani hizo. Wasomi wa karne ya 21 wanapinga imani hizo potofu ambazo zimesababisha mateso kwa wazee wasio na hatia hasa vijijini wakishtumiwa uchawi. Tena kumekuwa na mafarakano na chuki katika jamii na familia mbalimbali kwa ajili ya imani ya uchawi; kwa mfano, watu kuuana, kuharibiana mali na mifugo kwa kuhisiana uchawi kwa sababu ya watu waliopandikizwa imani za kishirikina.

Serikali ya Tanzania imetumia jitihada zaidi pamoja na kuelimisha wananchi hasa kutokana na suala la imani potofu na tafsiri mbaya ya uchawi ambayo imepelekea watu takribani 5000 kupoteza uhai toka mwaka 1961 kutokana na mateso, kuchomewa nyumba na vibanda katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Shinyanga na mikoa mingine; ni vilevile katika sehemu mbalimbali za Afrika ya Mashariki na ya Kati. Mwaka 2008 Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alilaani uchawi kama chanzo cha mauaji ya maalbino 25. Imani hizo potofu ni maarufu hata kwa viongozi japo kwa siri.

Unaruhusiwa kuchangia, kuongezea chochote kile... Mshana Jr

Karibunii..
 
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.

Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.

Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.

Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.

Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.

Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.

Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.

Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.

Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.

A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital

B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu

C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika

D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.

E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.

Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..

Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....

Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.

Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..
Habari zenu wana JF natumaini wazima wa afya poleni na majukumu
Leo nataka niwajuze kidogo kuhusu uchawi.....

Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.

Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.

Kwa mujibu wa vitabu vya dini uwezo na nguvu zote za asili ni za Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo, hivyo yeye anampa mwanadamu uwezo kadiri tofautitofauti kama apendavyo, kwa maana uwezo huo hufanya kazi katika hali ya kubahatisha, yaani ni bahati, hakuna mwenye mamlaka ya kuongoza uwezo huo wa asili ila Mwenyezi Mungu.

Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za asili katika hali (hasi) wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia, hawajui kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa nguvu zote za asili ikiwa ni pamoja na wanadamu.

Elimu pia inaweza kusaidia kuondoa imani hizo kwani hata baadhi ya madhehebu ya dini zinachochea kuziamini imani hizo. Wasomi wa karne ya 21 wanapinga imani hizo potofu ambazo zimesababisha mateso kwa wazee wasio na hatia hasa vijijini wakishtumiwa uchawi. Tena kumekuwa na mafarakano na chuki katika jamii na familia mbalimbali kwa ajili ya imani ya uchawi; kwa mfano, watu kuuana, kuharibiana mali na mifugo kwa kuhisiana uchawi kwa sababu ya watu waliopandikizwa imani za kishirikina.

Serikali ya Tanzania imetumia jitihada zaidi pamoja na kuelimisha wananchi hasa kutokana na suala la imani potofu na tafsiri mbaya ya uchawi ambayo imepelekea watu takribani 5000 kupoteza uhai toka mwaka 1961 kutokana na mateso, kuchomewa nyumba na vibanda katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Shinyanga na mikoa mingine; ni vilevile katika sehemu mbalimbali za Afrika ya Mashariki na ya Kati. Mwaka 2008 Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alilaani uchawi kama chanzo cha mauaji ya maalbino 25. Imani hizo potofu ni maarufu hata kwa viongozi japo kwa siri.

Unaruhusiwa kuchangia, kuongezea chochote kile... Mshana Jr

Karibunii..
 
Uchawi ni manuizo tu mengine huwa kama kiungo tu.
Uchawi una variety nyingi na unapishana nguvu kutegemeana na viungo vilivyotumika.
Tunaposema viungo ni neno pana sana.
Uchawi ni kama shoka ,mkuki ,panga na kitu awezacho kaa nacho mtu ndani ili kifanye kazi fulani.
Uchawi ulikuwa nyenzo ya kujilinda na maadui wabaya lakini malengo yake yakaja kutumika vibaya na waendelezaji wa uchawi wa baadaye kiasi kwamba ukawa ni nyenzo ya kuonea watu wasiokuwa hata na hatia.
Kama kila mchawi angeutumia uchawi kwa malengo yale ya awali basi kila mtu angetamani kuwa mchawi na jamii ingekuwa sawa tu.
Kiukweli uchawi ni dhana pana sana na ukizama zaidi unaweza kukuta kila mtu ni mchawi ila utofauti ni viwango tu.Nimejaribu maisha mengi sana tangu kuzaliwa nimeona mengi mazuri na ya hatari.Nimeishi kwa imani nyingi sana hivyo najua nilichoandika si kwa kuambiwa bali vitendo.
 
Back
Top Bottom