Ubunifu tu wa mama zetu wa kichaga.tena nzuri kuliko ht ya mtibwaNdo sukari gani hiyo inayotengezwa na ndizi?
Eeeh! Tuta eshimiana to asaiv ni ubepali!! to wala si ujamaa tenaKipindi kigumu sana watu watafunguka akili
WATAPENDEZA WATAKAOKUWANA PESA ZA KUTOSHA NA SULUWARI ZAO ZA VITENGE VYA URAFIKI ILA PICHA YA SISI TULIOZOEA MITUMBA YA BUKU BUKU SIJAIPATA KINACHOTAKIWA NI MAANDALIZI NUNUA SASA NA USITUPE NGUO MAFUNDI CHARAHANI WATATUZIBIAZIBIA NA SISI TUTAPENDEZA TU.Na bado, kuna waziri nani huyu sijui nae katia mkwara kuzuia nguo za nje kuanzia January mwakani. Najenga picha itakuwaje ikiwa upungufu wa nguo utaanza pia.... #SerikaliYaMwendokasi.
Na bado, kuna waziri nani huyu sijui nae katia mkwara kuzuia nguo za nje kuanzia January mwakani. Najenga picha itakuwaje ikiwa upungufu wa nguo utaanza pia.... #SerikaliYaMwendokasi.
Subhana-allahu! Zikishazuiliwa nguo za nje tutavaa khanga na shuka kama wamasai au? Maana hivyo viwanda vya nguo vya hapa kwetu navijua vyote kwa majina, vinatengeneza khanga, 21Cebtury Textile Mills, NIDA Textiles na kama khanga hazitutoshi tutavaa Mali ya Abdula kutoka Mombasa kwa hisani ya serikali tehe tehe tehe!
Kuna wachina pale External kwenye Mlima Kilimanjaro feki wanatengeneza jeans ukivaa Ubungo ukifika Kariakoo kaa vizuri, usikute tezi dume linachungulia nje...shukrani kwa uimara wa kofuli
Hizo tani 11,957 ambazo tuliambiwa zimeshaingia nchi ziko wapi?
Biashara zinakufa yan shida tupu alaf nchi ya viwanda aya tunasubil ivyo viwandaHii serikali ya mwendo kasi .Dereva mwenyewe ameshaanza kufeli huko mbeleni sijui itakuwaje sukari tuu wameshindwa hivyo wengine?
Viongozi wa nchi hii ni kama vile wanaishi nje ya nchi, wanachojua wao ni kvtoa matamko tu lakini namna ya kuhakikisha hayo matamko yanatekelezeka ni ziro kabisa. Sasa ndio tujiulize viongozi wa namna hii wenye kutaka tu sifa ambao wanatoa matamko kwa mbwembwe mbele ya vyombo vya habari lakini hakuna lolote, inaonyesha ni kwa kiasi gani wanatudanganya na wanatudharau sisi wananchi
Hapa mwembe[/QUOTE]Hapa magomeni mwebechai sukari leo tumenunua kilo kwa 2800 hatareel 4, post: 16414740, member: 346519"]WANA JF HESHIMA KWENU WOTE
Kwa muda sasa kumekuwa na tatizo la sukari kutopatikana maeneo mengi kutokana uamuzi wa serikali kuzuia vibali vya kuagiza sukari bila kujipanga.
Mwenzi uliopita Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa tani 11,957 ambazo serikali imeagiza zilikuwa zimeshawasili na kwamba hiyo sukari ingeuzwa kwa bei elekezi kilo 1800. Kuhusu tani zingine 240000 za sukari zingewasili ijumaa mei 13 na hadi zitoke bandarini ingekuwa jumapili na usambazaji ungefanya mei 16.
Pia tuliambiwa tani 20000 zingewasili mwisho wa mwenzi uliopita au mwanzoni mwenzi huu. Mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya kupatikana sukari kwa maeneo mengi nchini.Uamuzi wa kuzuia sukari kuagizwa nchi ulifanywa kwa kukurupuka bila kujipanga.
Kwenye kujadili hili swala la sukari tunatakiwa kuweka itikadi za vyama pembeni ni swala la muhimu sana watu wanateseka kutokana watu kufanya maamuzi ya kukurupuka bila kujipanga.
Tunataka kujua Sukari iliyoagizwa na Serikali iko wapi?
Hili bomu la sukari halijakaa vizuri. Mbwembwe zooote za Majaliwa na kutuaminisha koote kwamba hakutakuwa na shida ya sukari na hili tatizo litakwisha kabla ya Mfungo zimeishia hewani!WANA JF HESHIMA KWENU WOTE