Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

Je ni lazima kuapply vyuo vitatu?

Pia kama course unazohitaji (una vigezo) hazifiki tatu katika chuo unaruhusiwa kuomba, au lazima zifike tatu? Kama ni lazima zifike tatu utaweka hata zisizo kwenye vigezo?
 
Hawezi, labda akasome shahada ya ualimu, au akasome diploma ya uhandisi
Aisee..!! Yani ana uwezo wa kusoma degree ya ualimu lakini hana uwezo wa kusoma degree ya uhandisi?
Kuna mzazi wa huyu mwanafunzi namba 535 alitaka kusoma shahada ya uandisi, nimeona kwa vigezo vya sasa hana sifa.

Vipi kuna njia gani nyingine anaweza toboa kwa upande wa kusoma shahada?
View attachment 1859836
 
Aisee..!! Yani ana uwezo wa kusoma degree ya ualimu lakini hana uwezo wa kusoma degree ya uhandisi?
Yah! Kusoma degree ya uhandisi lazima awe na D mbili, lakin kwa ualimu ata akiwa na D moja anapata

Unless kama ataamua kusoma vyuo vya private then iyo degree ya uhandisi anaweza pata, sema ajiandae mfukon
 
Ndio maan nipo apa kukuelewesha, wapi hujaelewa mkuu
Nimeelewa sasa, kwahiyo ana sifa za kuomba degree ya Ualimu? Niliogopa kumwombea mkopo nikijua hata Ualimu mpaka uwe na principle pass mbili na ziwe DD.
 
Ni lipi mwombaji anatakiwa kuanza nalo Kati ya kuomba vyuo vitatu then kifuate nini Kati ya TCU na HESLB,? Yaani mtiririko tuanzeje Kati ya Vyuo, TCU na HESLB.
Kwani TCU inahusika na nni kwenye kuomba vyuo mwaka huu ukiachana na kitabu Chao cha mwongozo?
Maombi yote yanafanywa direct ktk chuo huko TCU kaangalie mwongozo tu na labda kama umesoma nje ya nchi ndio nenda huko kuverify vyeti ila kama umesoma bongo wwe fanya application yavyuo mana hiyo ndio inafungwa tarehe 5 August wakati huo HESLB wanafunga tarehe 30 August hivyo pambana na vyuo kwanza mana kozi hua zinajaa
 
Kuapply chuo ni lazima uwe na C mbili na kuendelea?,nimeangalia qualifications za guidebook ya TCU nao kila kozi lazima uwe na priciple passes mbili na wakidefine principle pass kama C and above.
Vyuo vingi qualification ya kujiunga na kozi ni point 4 ambzo ni principle 2 hapo ni hata ukiwa na D MBILI unafanya maombi ila hio kwa waliomaliza form six 2016 kuja huku
 
Nauliza namna ya kupata VN kutoka nacte nimejaribu kupitia online nimeshindwa
 
Kuapply chuo ni lazima uwe na C mbili na kuendelea?,nimeangalia qualifications za guidebook ya TCU nao kila kozi lazima uwe na priciple passes mbili na wakidefine principle pass kama C and above.
Soma guide book yote uielewe.
 
Yah! Kusoma degree ya uhandisi lazima awe na D mbili, lakin kwa ualimu ata akiwa na D moja anapata

Unless kama ataamua kusoma vyuo vya private then iyo degree ya uhandisi anaweza pata, sema ajiandae mfukon
Wa kwangu ana kemia S. Biology E Geography D je matokeo hayo anaweza kusoma kwa D hiyo moja shahada ?
 
Najaribu ku apply mkopo kwa kufanya online application mbona inakataa kufunguka,au kwakuwa leo ni jumapili,mwenye link atuwekee tafadhali...
 
Mmh huku hao watu ni wachache mkuu na waliopo huku wengi wanajuajua tuvitu vitu.
Wacha tusaidie kushare link ya whatsapp.
Japo nimeingia hiyo link nmekuta ni kama kuna members za jf tu 😂😂😂. Ni kama umewapa ndoano vijana wako humu 😂😂
😂😂😂
 
Wa kwangu ana kemia S. Biology E Geography D je matokeo hayo anaweza kusoma kwa D hiyo moja shahada ?
Haiwezekani mkuu ufaulu wa chini anahitajika kuwa na point 4 za tcu kwenye masomo mawili. Wakwako ana point 3 ( D=2 na E=1). Fikirieni kumpeleka diploma.
 
Mtu anaeenda kuchukua diploma anaweza kuomba mkopo..?
 
Back
Top Bottom