Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,865
- 730,439
Kikisemekana kimehimili changamoto za kitaaluma duniani ni chuo pekee cha kishirikina kilichopo Africa ambacho kimeweza kudumu kwa zaidi ya miaka 1000
Wanafunzi wake wakipatikana kwa njia ya ajabu kabisa ya kuletewa ujumbe ndotoni kimeweza kujipambanua kwa upekee
Mpaka sasa haijulikani ni wapi hasa kipo chuo hiki kwenye ardhi ya Africa japo inawezekana na kusemakana ama kiko Zambia au karibu na hapo
Tuna watu wengi sana ambao wangependa kujifunza elimu hii adhimu na adimu fanyeni juhudi kukitafuta hiki chuo kwenye elimu ya ushirikina na ulozi duniani hiki chuo kinaheshimika mno