Recent content by mizuno

  1. mizuno

    Fergie alishinda UCL na aberdeen, akashinda UCL na watoto wa carrington, akairudisha Man Utd katika ubora wake, eti leo mtu anasema Pep ndio bora

    mimi ni shabiki wa Manchester toka 98 nikiwa mdogo jirani yetu ndo alinifanya niipende maana home hawakuwa na ushabiki wa mpira kabisa..binafsi yangu mimi Pep ndo kocha bora zaidi kuwahi kumshuhudia haijalishi mimi ni UNITED ,Pep anambadilisha mchezaji mzuri anamfanya kuwa bora na hakusajili tu...
  2. mizuno

    Top 3 GOAT Tanzania Rappers, Serikali itambue mchango wao ikibidi watunukiwe Phd

    Afande sele ndo msanii wangu bora wa muda wote kwenye swala la tungo akifuatiwa na Prof. Jay ....kwa wasanii wa sasa nikiwa na hamu ya kupata chakula cha ubongo namsikiliza Dizasta Vina na nimesikiliza nyimbo zake nyingi mno ila nimejikuta naupenda zaidi wimbo wake unaoitwa MBUZI ,jamaa anajua...
  3. mizuno

    Madee: Ni ushamba kupiga mwizi

    asilimia kubwa wanaoua wezi hawana self control ndani yao ndo haohao wanapiga wake zao majumbani pindi wakiwa na hasira yaani swala la kujizuia kwao ni changamoto, mtu akisikia kelele za mwizi tu basi anatoka na silaha akaue huyo mwizi anaekimbizwa bila hata kujua kaiba kweli au...
  4. mizuno

    Faida 20 za Kula Parachichi

    hili ndo tunda sikulipenda toka udogoni yani kiasi kwamba kama nimeshiba sana halafu atokee mtu mbele yangu anakula parachichi basi nitapatwa na hali ya kutapika,marehemu mama yangu alikua analipenda sana na alinambia nijilazimishe kula sababu lina faida nyingi lkn kila nilipojaribu niliishia...
  5. mizuno

    Tsh 500k napata TV gani nzuri?

    nilichogundua hata mwenye shida ya tv hajui tv ya 4k ndo inakuaje ndomaana anathubutu kutafuta tv yenye sifa hiyo ya inch 32.
  6. mizuno

    Michano/Hiphop/Freestyle

    huwa naanza na jamiiforum/kila nanapowasha data/ inanifanya vitu vingi nifahamu/na habari nyingi kuzipata/...
  7. mizuno

    Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote

    Huyo jamaa namba moja akifatiwa na wapili sijaona bado wa kuwalinganisha nao ,Kila kizazi kina bahati yake kama ninavyojivunia kumuona Gaucho,Messi na Ronaldo kwenye mpira ndivyo najivunia pia kumsikiliza Afande Sele na Prof Jay kwenye muziki wa bongo.
  8. mizuno

    Hans Rafael anamuiga George Ambangile?

    Uko sahihi Kabisa Ambangile ni mchambuzi mzuri ila ni muoga wa kuongea ukweli,mfatilie hata mechi za Simba na Yanga akiulizwa utabiri wake lazima aweke sare kukwepa lawama.kingine anapendelea sana matamshi ya aina moja kiasi kwamba unaweza kuhisi karudia uchambuzi
  9. mizuno

    Otile Brown na Sanaipendi waliua kwenye nyimbo ya chaguo la Moyo

    sikuwa naupa nafasi huu wimbo kwenye masikio yangu ila kuna siku nilihudhuria harusi ya ndugu yangu ,basi kuna muda maharusi wakainuliwa kwenye viti na ndipo dj akaupiga huu wimbo maharusi waucheze lkn pia ukawa unaonekana kwenye screen za ukumbini bana weeeeeeee.....kuna hisia flani nilikuwa...
  10. mizuno

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    we jamaa umeandika unachokiona na huo ndo uhalisia watu hawatazami ubora wa spurs unaanzia wapi,kiufupi binafsi yangu nikiwatazama makocha wote duniani Conte ndo kocha pekee anaeweza kuibadilisha timu ndani ya kipindi kifupi mno.Chelsea,Inter na hii Spurs zote zimekuwa imara katika msimu wake wa...
  11. mizuno

    Vipindi vya Redio na Televisheni unavozipa muda wako.

    nimetega na alarm kabisa ili kipindi kisinipite kinaanza kati ya jumatatu mpaka ijumaa kina simulizi za maisha halisi ya mikasa mizito ambayo watu wamepitia kwenye maisha yao, unakipata EFM RADIO kuanzia kumi na mbili na robo jioni mpk na dk 50. ni kipindi kifupi sana lkn kitakufanya ujifunze...
  12. mizuno

    App ya Kupatana imekua ya ovyo sana baada ya kui-update

    wameharibu bora warudishe ulivyokuwa awali tu
  13. mizuno

    Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

    ni games gani hizo ambazo zinapatikana kwenye Xbox na kwenye PS hawezi cheza.....hebu nitoe ushamba mkuu?
  14. mizuno

    Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

    naanzaje kuwa na mwanamke mnywaji pombe wakati hizo soda tu niliachaga kunywa kitambo sana....kuna mke wa mtu aliwahi kuniambia anataka kuja ghetto kwangu lakini nihakikishe nimemuandalia 'Wine' ...japokuwa sifahamu hata kwa chupa tu inafananaje lakini nilijiuliza sana kwanini achague hicho...
  15. mizuno

    Unanyoa ama unasuka mtindo gani wa nywele

    😂😂😂 mkuu umenichekesha sana ila watu hawajui tu kupendeza kwenye kunyolewa napo kunasababishwa na vitu vingi achilia mbali kichwa na nywele...rangi ya mtu mpk muonekano wa sura yake .
Back
Top Bottom