Ni sababu hauko serious.Mmegoma kunisaidia?
Ukitaka unotice 4k lazima unique inch 55 kuendelea32"
Smart,
4K+HDR, LED,
Bluetooth,
HDMI 4 Ports ( at least one 2.1)..
Hata used iliyosimama sawaaa.
Nakaribisha ushauri pia kwa wajuvi,
Ni vizuri ikawa kati ya LG, SONY & SAMSUNG.
Simply. Ni ngumu kupata 4k kwa nchi 32.Mmeshindwa kunisaidia, wote mliopita humu washamba tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza sijawahi ona 4K ya 32" popote na sijui kama ziponilichogundua hata mwenye shida ya tv hajui tv ya 4k ndo inakuaje ndomaana anathubutu kutafuta tv yenye sifa hiyo ya inch 32.
Nenda huu uzi una majibu yote na wauzaji na majibu utapata uko. Kabla ya kuanzisha uzi tafuta kwanza unaweza kuta solution ipo we unajisumbua bure kuja kulaumu watuMmeshindwa kunisaidia, wote mliopita humu washamba tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ndio umenisaidia,Nenda huu uzi una majibu yote na wauzaji na majibu utapata uko. Kabla ya kuanzisha uzi tafuta kwanza unaweza kuta solution ipo we unajisumbua bure kuja kulaumu watu
![]()
Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa
Heavy Duty Dell Machine (engineerng design,grphics design & games) -storage. ROM/HDD: 1TB RAM: 16GB DDR4 Processor: Intel Core i7, 2.4Mhz with graphics card. System: x64 bit-based processor Screen: 15.6" Keyboard: black Window 10 pro Battery: 4hrs Condition: CLEAN.(haina tatizo lolote)...www.jamiiforums.com