Recent content by Miranda Michael

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kinyalu ni wajeuri sana

    lahaula, kwa hali hii si sitopata mchumba sasa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    you can't be serious, otherwise you are mentally retarded.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Ivi wakristo tumewakosea nini ndugu zetu waislam,mbona mnatuandama ivyo, mara kafiri, mara mfumo kristo,loo, basi nyanja zote za utawala shikilieni tu, kwa maana mlizoshikilia bado mnaona chache. Awali ya yote mkamateni sana elimu, usimwache aende zake.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fundi ipad

    Habari zenu ndugu zangu. Natafuta mtu wa kunitengenezea ipad yangu.Tatizo ni kwamba niliidondosha na hapo haikuweza kuwaka tena.kwa mwenye uwezo naomba anitaarifu japo kwa PM. Asante.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naona raha kupitiliza, nalia mwanzo mwisho

    mada inavutiaa iyo. Hongera
  6. M

    JamiiForums Tanzania Style hii ya migomo ni utoto

    popycock
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

    arrgghh!! Kichefu***fu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni Laana Tanzania?

    Kilichobaki ni kujiajiri tu,maana loo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania updates mgomo: walimu wasalitiana

    Uwongo mtupu
  10. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi

    Nifate kwa PM
  11. M

    JamiiForums Tanzania anayejua dawa ya hii anisaidie

    pia unaweza tumia bright toothgel, its more helpfull kwa tatizo lako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Network marketing business

    Karibu sana hapchory
  13. M

    JamiiForums Tanzania Network marketing business

    Anaehitaji kufanya network marketing business kupitia forever living products company. kwa yeyote ambaye atahitaji kujoin au maelezo zaidi kuhusu hii biashara aniPM, ili tupeane contacts zaidi.Asante
  14. M

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    naweka nakasmiley maramoja 1
Back
Top Bottom