Wanawake wa kinyalu ni wajeuri sana

Wanawake wa kinyalu ni wajeuri sana

Hiyo ya kisasi nimeshafanyia research sana. Nimekaa sana na wadada wa Kihehe; wenyewe walikuwa wananisimulia kuwa ukimuona muhehe usi mu underestimate. Yaani mnagombana leo..mnaendelea kuchekeana hata miaka miwili...kumbe ugomvi bado uko moyoni; kiasi hata mtu akiamua kumuua mwenzie (which they do) ni ngumu ku trace sababu au kumpata muuaji kwani ni ugomvi wa nusu karne

Kwa ufupi wana vinyongo.

Sasa mimi walivyokuwa wananisimulia walikuwa wana ni alert ikafika muda nikasema wasichana wa Kihehe kwangu basi...maana nina watoto wasije wakaweka kinyongo wakafanya la kufanya kwa wanangu.

Hii tabia si kwa wanawake ni kwa wahehe wote wake kwa waume..wenyewe wanasema wanafata nyayo za Mkwawa...jasiri alojiua.

Nimewasikiza wachangiaji wote,kwanza na declare interest mm ni mnyalu pure from mafinga,alieleza ukweli hapo ni aristolius kuhusu visasi,akishachukia hamnaga msamaha!that true.
 
mmmmmh hiyo yako ndugu na hayo yote uliyoyasema ni hulka tu za mtu wala kabila halihusiki.
 
Nami nauga mokono hiyo hoja kwani kuna mmoja aliudhiwa na watu wa dini fulani akiwa anasoma o-level hadi sasa akiona tangazo au mafundisho ya dina hiyo kwenye runinga huwa anazima.Ni kama miaka kumi liyopita alivyo tendewa hivyo.
 
Kumekuwa na taarifa za siku nyingi kuwa mabinti wa Kinyalu wanapotafuta wachumba huwa wakarimu kupitiliza na si rahisi ukiingia mtegoni kuchomoka hadi ndoa inajibu. Lakini baada ya siku chache hubadilika kiasi cha wewe kuhisi labda wamekubadilishia mke. Tena huwa wabaya zaidi kama atajiweza kujitafutia angalau ugali kwa mlenda kwa siku na chupa moja ya ulanzi.

Sina maana ya kugeneralize lakini nasikia hawa karibu wote. Kati ya mia safi 2 tu, hivyo uwezekano wa ku draw bad card ni 98%, confidence interval 2% only.

Kuna misemo kama bint zetu wa Bukoba ndiyo kama vile, wapare ndio usiseme na Wanyakyusa ndiyo maharage ya nyumbani. Kwa makabila haya si rahisi kugeneralize kwa sababu sio wote. Lakini wanyalu ni hatari kama wanavyodai. Pia, kuna habari kuwa ndoa nyingi zinazoyumba nchini, 98% ni za mke Mnyalu.

Wajuzi tufunueni macho maana na sisi vijana tunataka kuchukua jumla na hapa tulipo wanyalu ndio wengi, tusaidieni.
Na hapo bado hujataja ile tabia yao ya kupenda kukufanya uwe underdog. Pia usiombe ufulie maana nyumba utaiona chungu, kwani hata mzigo hutapewa. kama wewe si mnyalu , usijaribu.
 
Mtoa uzi uko sashihi kabisa wanawake wa kinyalu ni moto wa kuotea mbali, mm nina mifano mingi sn iliyojitosheleza kudhibitisha maneno yako, na pia nina ndugu yangu kaoa Mnyalu yaani huyu ndugu amekua km zuzu kwani kila kitu ndani ya nyumba kinaamuliwa na huyu mwanamke, na kipato kikiyumba tu kidogo basi maelewano hakuna na hata unyumba hapati, na huyu mwanamke ana mdomo na ubabe wa wazi wazi na anatabia ya kupenda kulipiza visasi hata kwa jambo dogo tu! yaani wanawake wa kinyalu bwana ah anayetaka kuoa aoe tu km anabisha bt mwisho wa siku yatamshinda.
 
ajabu ni kwamba, ukiwa huku mwanza na maeneo ya ziwa, ukitaja mtu MNYALU, watu wanaamini kuna ni MNYARWANDA, ukiwa dsm na kusini watu wanajua ni Mnyarukoro YAANI MHEHE...sasa sijui mtoa mada alikuwa anamaanisha nini....kama alikuwa anataka kumaanisha wanyarwanda....hasa watusi...haki ya nani, hakuna mwanamke mbaya duniani kama mtusi/mnyarwanda....wana roho mbaya ajabu, ila sura zao ni nzuri...kwahabari ya wahehe/wanyalu.....hakuna wanawake wavumilivu kama hao, unaweza kuwaletea hata watoto wa nje wakulelee alimradi tu unamtunza na kumjali.....ukimkosea jifanye mjinga umwombe msahama yanaisha hapohapo....ila ukiona unajifanya jeuri wakati anaona umemuonea na yeye ana haki, akakasirika hadi akafikia mwisho, utajuta kwasababu wana visa vya miaka hata zaidi ya kumi amekuweka tu moyoni, atafanya juu chini na kama hasira imefika at 100% anatafuta kamba anajitundika....

kuna ndugu yangu mmoja hivi alikuwa mchoma chips, yeye ni mchaga wa rombo, alikuwa na maisha magumu sana....akapata mwanamke wa kinyalu, wakatafuta maisha akaanza kufanikiwa kwasababu wanawake wa kinyalu wanafanya kazi kama punda...akazaa mtoto lakini wakati wa kujifungua alienda iringa...baada ya mwezi akarudi dsm kwa jamaa...kumbe alipoenda kujifungua ndugu wa jamaa angu aliambiwa asiowe mhehe, lazima aoe mchaga, hivyo akapata mwanamke wa kichaka, yule mnyalu aliporudi na kichanga, akakuta kuna mchaga ndani, na jamaa akamtimua kama mbwa dada akaondoka na kichanga....alichoenda kufanya huko iringa hatujui, ila ile ndoa ya jamaa angu ina miaka kumi na mbili hakuna cha mtoto hata wa kuazima, wana mali nyingi magari mengi...wametembea kwa waganga karibia wote wa kienyeji hapa tz wamekunywa dawa za kila aina, mwanamke hazai wala mwanaume hazai....

jamaa alifunga safari akenda mufindi huko iringa, akaanza kuulizia kijiji baada ya kijiji hadi akampata yule mwanamke, alienda na gari yake, akawaomba familia wampe yule mtoto, mtoto ameshafika miaka kumi na mbili tayari, jamaa akamchukua ndo anakaa naye kama mtoto pekee, mwanamke mzuriii wa kichaga amekunywa dawa za kila aina...wana pesa nyingi hivyo wanauwezo kwenda hospitali yeyote, na kwa mganga yeyote,...lakini vyote vimefeli....alichowafanya huyo mhehe sijui nini....na wakienda kwa mganga anawambia mhehe ndo kamawamaliza...na yule mhehe kule alishaolewa, ana watoto kibao....yule aliyezaa na jamaa (ambaye amemchukua, ni photocopy kabisa na jamaa angu).
 
Wahehe
 
Kumekuwa na taarifa za siku nyingi kuwa mabinti wa Kinyalu wanapotafuta wachumba huwa wakarimu kupitiliza na si rahisi ukiingia mtegoni kuchomoka hadi ndoa inajibu. Lakini baada ya siku chache hubadilika kiasi cha wewe kuhisi labda wamekubadilishia mke. Tena huwa wabaya zaidi kama atajiweza kujitafutia angalau ugali kwa mlenda kwa siku na chupa moja ya ulanzi.

Sina maana ya kugeneralize lakini nasikia hawa karibu wote. Kati ya mia safi 2 tu, hivyo uwezekano wa ku draw bad card ni 98%, confidence interval 2% only.

Kuna misemo kama bint zetu wa Bukoba ndiyo kama vile, wapare ndio usiseme na Wanyakyusa ndiyo maharage ya nyumbani. Kwa makabila haya si rahisi kugeneralize kwa sababu sio wote. Lakini wanyalu ni hatari kama wanavyodai. Pia, kuna habari kuwa ndoa nyingi zinazoyumba nchini, 98% ni za mke Mnyalu.

Wajuzi tufunueni macho maana na sisi vijana tunataka kuchukua jumla na hapa tulipo wanyalu ndio wengi, tusaidieni.
Nadhani ni bora ya hawa wanyalu mara mia kuliko wachaga maana mchaga yuko tayari hata kutoa roho ya mumewe, ila mnyalu mapenzi yanendelea thoug contradiction haziwez isha
 
Kwenye visasi hapo nakubaliana na wewe 100% ndivyo ilivyo
 
Kwa hiyo kabila lipi lina wanawake wazuri? Sijui tafiti zenu mnafanyia wapi maana ndoa ninazozijua mimi za Kunyalu (Ikiwemo yangu) zinaenda kinyume na findings zako. Ngoja tuone wengine watasemaje hapa?

Tuko pamoja mkuu..hata mimi sijaona tatizo na mnyalu wangu!!
 
we mtoa mada na wafikiria tumbo wote akili zenu mmekalia,hamna akili wehu wakubwa nyie!
Hata uoe malaika km una akili km zako,mwanamke atakukimbia tu. Wewe hazikutoshi,mwanamke atakuvumiliaje??

Mods naona wamelala,post sensitive km hz zinavumilikaje?? Km mnasapoti nijulisheni nije tena!
 
Siongezi neno. Yote mazuri umeyagusia.
 
nimeanza kuelewa somo nikirilate na rafiki angu (wa kike) mhehe...
Kingine mademu wa kihehe hawajui kusema HAPANA wao ni ndio..ndo maana huyu rafiki angu anipa mawazo kwani kila mmoja anayemjia lazma aweke tiki.. Cku ukikataliwa na demu wa kihehe kaoge baharini una mkosi
 
kama blandina nyoni na mdogo wake lilian badi, jeuri. Roho mbaya za kichawi kudadadeki.
 
nimeanza kuelewa somo nikirilate na rafiki angu (wa kike) mhehe...
Kingine mademu wa kihehe hawajui kusema HAPANA wao ni ndio..ndo maana huyu rafiki angu anipa mawazo kwani kila mmoja anayemjia lazma aweke tiki.. Cku ukikataliwa na demu wa kihehe kaoge baharini una mkosi
mimi sio mhehe, ila nimeshawahi kuishi uheheni kwa muda mrefu....kusema kwamba wahehe hawajui kusema hapana, hapa umesema uongo wa mwaka, hakuna wanawake wagumu kutongoza kama wahehe, hadi akuvulie chupi umesota na kusotaga, wao ndio huwa ni hapana na hapana huwa ni ndio..ukimwomba mzigo lazima atasema hapana na unatakiwa kuhangaika hadi uipate wewe mwenyewe, ukiishia hapo tu kwamba amekataa basi ndo na yeye ameshakutapika....kati ya wanawake wagumu kutoa tunda ni wahehe.....kwa kusini yote...ungesema wanyakyusa kwa mikoa ya kusini ndo kama wahaya tu.
 
Back
Top Bottom