Tumbo kujaa gesi kila baada kula ni ugonjwa au ni hali ya mtu mwenyewe?

daniel don

Member
Jun 28, 2012
43
3
Mdogo wangu anapokula na kushiba tumbo lake hujaa gesi ila hapati matatizo yoyote zaidi ya kubeua mara kwa mara na wakati mwingine hulazimika kula kidogo zaidi ili asipate hiyo gesi tumboni..

Wasi wasi wangu lisije likawa tatizo kubwa. Inapomtokea hali hiyo hutumia vidonge vya Magnesium..kiasi kwamba vidonge hivyo vimekuwa vikitumika kila siku kama sehemu ya mlo..ni kipindi kirefu sasa swala la gesi kwake ni kawaida..

Kama hilo ni tatizo dawa gani ni nzuri zaidi kumaliza gesi tumboni.
 
hicho ni kipimo gani mkuu! kinafanyikaje?

Wanafanya hospitali kupima kama ana vidonda vya tumbo.
Wakati unasubiri mtafutie ALOE VERA JUICE ya GNLD au uliza katika pharmacies zinauzwa kwa ujazo wa lita moja.
 
Na kuna mwingne hata km hajala sana tumbo linajaa gesi,mfno amekunywa chai na vitumbua viwili tu lkn anabeua sna..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom